Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Bado mnaabudu looks

1735846058846.png
 
Kwani nani kakuambia kaandika hapo tu? Huo ni utangulizi tu. Tafuta kitabu chote na ukisome.

Kabendera ni mwanafunzi wa Ph. D wa King’s College of London moja ya vyuo vikuu bora 20 hapa duniani.

Huyo ni mtafiti wa kweli kweli na sio hao machawa.

Hao Guardian anaowaandikia Ndio gazeti bingwa duniani kwa uchunguzi wa matukio mazito. Wana ujuzi wa kutosha.
Ndio maana nimesema BBC, CNN, VOA au Aljazeera wamuhoji kuhusu haya madai kwani ni wazi anajua mengi
 
Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;

Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?

Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
Inasemekana lakini pia , kipipa alikuwa ana toroka peke yake usiku akiwa na Benz, akianaenda kumtafuna dada wa kichaga.

Aliye waambia ikulu ni mahali patakatifu aliwadaganya sana
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot from the jump.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Hii picha ni siku anatoka gerezani alikokua amefungwa kwa hili, ulitaka akitoka akimbilie saluni? Au Siku Hizi ukiwa rumande unaruhusiwa kunyoa na kuvaa suti??
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot from the jump.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Tuache kuokoteza picha, hao ni mabosi wa IPTL wakitoka gerezani. Same na Erick hapo juu. Tutafute SABABU nyingine
1735846702208.jpeg
 
Kila mundu Avena kwao hapa pa chilambo hicho ni kimakonde yaani hapa duniani Kila mtu ana asili ya nyumbani kwake kwa hio na yeye kabendera aende kwao kwenye asili yake asitulete matatizo kwenye nchi yetu tulivi
 
Back
Top Bottom