Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kuna kitabu kinaitwa PRESIDENTIAL PARADOX,kisome wameandika yote mpaka mfumo wa ulinzi wa Rais na mipaka yake ktk matumizi ya silaha
images (11) (1).jpeg
images (47).jpeg
images (48).jpeg
 
kama rais wa nchi anafanya vituko km hvyo nakuna tiss.nini kazi ya tiss
Unaiamini hii TISS kikundi cha wana ccm ambacho wahamiaji haramu wanakuja ndani ya nchi wanaiba rasilimali za nchi na wengine hadi wanapewa uongozi ndani ya nchi tena sehemu nyeti kabisa(Ref.CDF speech) na wao wapo tu, ila wanaona ufahari ni kuvaa suti nyeusi na kutembelea magari tinted huku wakiteka watanzania wenzao tena wasio na hatia wala madhara kwa taifa, kisa tu wanakosoa serikali!? HOVYO KABISA USALAMA WA TAIFA TANZANIA hawalisaidii taifa kwa lolote zaidi ya kutetea wala rushwa na wezi wa mali za umma.
TISS wangekuwa wanafanya kazi kwa weledi hakuna halimashauri ambayo ingekutwa na hati chafu au ubadhirifu wa fedha za umma maana kila wilaya kuna DSO na nzi wake. Maana matukio ya wizi na ubadhirifu yangekuwa yana wahiwa kabla hata hayaja tokeo, ila tangu imegeuzwa kama taasisi ya UVCCM imekuwa ya hovyo kabisa wanakula mishahara wanayo tumika kiharamu hawa , hawa ni sawa na BUNGE la JMT hawana msaada wowote ule kwa taifa hili
 
shida ya magu alikata mrija wa utamu kwa bwana kabendera sasa hasira anamalizia kuandika utoto utoto tu
niliambiwa, nilisikia, walio mwona sasa magu alikosa kazi hadi hili atekeleze yeye kwa mkono wake
 
kabendera alipitia wakati mgumu sana lakini ni kutokana na unadishi huu wa mihemko usiokuwa na vipimo ndipo uliomingiza kwenye 19 za magufuli. Kuna makala moja aliiandika makala nadhani ya Newseek kuwa "the stupid deicision of the the president" halafu editor wa NJewsweek akaitoa vivyo hivyo bila kuifanyia editing na ndiyo iliyomuweka matatani. Hakuwa na haja ya yeye kujifanya ni smart kuliko presendent na presendt in stupid, Angetumia maneno kama illdvised decision, questionable decision, au dicey decision, lakini siyo kusema studid decision. Poor choice of words imeharibu maisha yake yote hata baada ya Magufuli kutangulia.
Alikosa akili nzuri ya kuandika. Aliandika kwa mihemko. Uandishi nao unahitaji akili kuchagua maneno ya kuandika.
 
Hao wanaomkosoa mleta mada hapa ndani ni TISS wenyewe.
Kwa mtanzania ambae ana akili sawasawa hakuna anayekubaliana na vitendo haram alivyofanya bwana jiwe
 
Huwa nawaambia Kila siku humu JF waanzisha mada wengi wanamsongo wa mawazo na PTSD mfano huyu chiembe thread zake nyingi utagundua kabisa ana tatizo la afya ya akili Kuna ulazima wa Jamiiforum kuwa na jukwaa la utoaji Elimu kuhusu afya ya akili Hawa keyboard warrior wengi wao wanaishi maisha ya Ajabu sana utagundua kwa wanachoandika
 
Unaiamini hii TISS kikundi cha wana ccm ambacho wahamiaji haramu wanakuja ndani ya nchi wanaiba rasilimali za nchi na wengine hadi wanapewa uongozi ndani ya nchi tena sehemu nyeti kabisa(Ref.CDF speech) na wao wapo tu, ila wanaona ufahari ni kuvaa suti nyeusi na kutembelea magari tinted huku wakiteka watanzania wenzao tena wasio na hatia wala madhara kwa taifa, kisa tu wanakosoa serikali
Sad
 
Publicity stunts tu hizi za kuuza kitabu.

Kabendera yeye mwenyewe kuingia ‘Kings College’ ingekuwa mission impossible. Bila ya watu waliokuwa wakimlipa kuichafua (Tanzania), serikali ya uingereza na media zao.

Hata hao wazungu ku-publish ujinga uliojaa mule kwenye kitabu chake wameona una madhara kwa wasomaji wao wenye kuuliza maswali (the content is for the gullible people not informed minds).

Ndio maana wameona kulinda brand zao ni muhimu kuliko kuhusishwa na ujinga uliopo kwenye kitabu cha Kabendera (full of fantasies).

Otherwise as a free lancer Kabendera ambae alikuwa anauza nakala ‘The Times’ wamiliki wa Times Publishing group, yenye uwezo ya kuchapisha vitabu. Better still ‘The Times’ ni subsidiary ya ‘News International’ ambayo ni conglomerate kwenye media industry (ina miliki publishing groups luluki duniani).

Similarly ‘Guardian Media Group’ ni international company inayomiliki press na publishing companies luluki including Penguin publishing 🐧, Same story with ‘The Economists’.

Wote hao hiko kitabu hawakutaka mahusiano nacho, wamem-connect na JACANA a South African, publishing firm kuchapisha ujinga wake; anything controversial and lies wao hawasuki.

Upuuzi wa waafrika unatutosha wenyewe. Wazungu wanajua wakijihusisha wao na upuuzi wetu, wanaweza nunua ugomvi na wanaharakati wa bara zima la Africa.

Mengine ni kuwaaachia mataahira watanzania.

Kabendera is sick (pathological liar).
 
Back
Top Bottom