HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Kuna kitabu kinaitwa PRESIDENTIAL PARADOX,kisome wameandika yote mpaka mfumo wa ulinzi wa Rais na mipaka yake ktk matumizi ya silaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitabu kinaitwa PRESIDENTIAL PARADOX,kisome wameandika yote mpaka mfumo wa ulinzi wa Rais na mipaka yake ktk matumizi ya silaha
Katili ni katili tu lazima asemwe na alaniwe.Magufuli atabaki midomoni mwa watu mpaka kiama ndio raisi aliyefanya mageuzwi makubwa kwa wazembe na mafisadi katika karne hii ya kuogopana na kuleana!
Alikufaje mkuu? Maana hiz consp zote ni sababu haijulikani.Ana dhalilisha hicho chuo, maana bado ni mjinga, Ben hajauliwa kwa kupigwa risasi live Ikulu
Unaiamini hii TISS kikundi cha wana ccm ambacho wahamiaji haramu wanakuja ndani ya nchi wanaiba rasilimali za nchi na wengine hadi wanapewa uongozi ndani ya nchi tena sehemu nyeti kabisa(Ref.CDF speech) na wao wapo tu, ila wanaona ufahari ni kuvaa suti nyeusi na kutembelea magari tinted huku wakiteka watanzania wenzao tena wasio na hatia wala madhara kwa taifa, kisa tu wanakosoa serikali!? HOVYO KABISA USALAMA WA TAIFA TANZANIA hawalisaidii taifa kwa lolote zaidi ya kutetea wala rushwa na wezi wa mali za umma.kama rais wa nchi anafanya vituko km hvyo nakuna tiss.nini kazi ya tiss
Kuna jamaa zangu wanafanya kazi chombo nyeti cha usalama nchini
Alikosa akili nzuri ya kuandika. Aliandika kwa mihemko. Uandishi nao unahitaji akili kuchagua maneno ya kuandika.kabendera alipitia wakati mgumu sana lakini ni kutokana na unadishi huu wa mihemko usiokuwa na vipimo ndipo uliomingiza kwenye 19 za magufuli. Kuna makala moja aliiandika makala nadhani ya Newseek kuwa "the stupid deicision of the the president" halafu editor wa NJewsweek akaitoa vivyo hivyo bila kuifanyia editing na ndiyo iliyomuweka matatani. Hakuwa na haja ya yeye kujifanya ni smart kuliko presendent na presendt in stupid, Angetumia maneno kama illdvised decision, questionable decision, au dicey decision, lakini siyo kusema studid decision. Poor choice of words imeharibu maisha yake yote hata baada ya Magufuli kutangulia.
Magufuli atabaki midomoni mwa watu mpaka kiama ndio raisi aliyefanya mageuzwi makubwa kwa wazembe na mafisadi katika karne hii ya kuogopana na kuleana!
Ina uhusiana mkubwa sana mzee watu waliguswa na mwamba JPM ndo wanawatumia watu wenye njaa kama kabendera kumchafua mwambaHaihusiani na hii mada. Anzisha uzi wako kuzungumzia hilo
Ndio mageuzi yenyewe unafikiri atakumbukwa lissu kwa lipi!Mageuzi ya kudedisha watu kwa viwango visivyomithilika.
Hasafishiki kwa kauli tu, au za waliokuwa beainwashed.
Vipi mbowe atashinda kiti maana ndio muuaji wa chacha wangwe na Ali kibao kwa mujibu wa lissu!Katili ni katili tu lazima asemwe na alaniwe.
Hakika!Iko siku JPM mwingine atakuja tu 🙏
SadUnaiamini hii TISS kikundi cha wana ccm ambacho wahamiaji haramu wanakuja ndani ya nchi wanaiba rasilimali za nchi na wengine hadi wanapewa uongozi ndani ya nchi tena sehemu nyeti kabisa(Ref.CDF speech) na wao wapo tu, ila wanaona ufahari ni kuvaa suti nyeusi na kutembelea magari tinted huku wakiteka watanzania wenzao tena wasio na hatia wala madhara kwa taifa, kisa tu wanakosoa serikali
Tunaujuaji wa kijinga sana alafu anayemkosoa anaaminiwa nao hao hao waingereza the guardian wanafanya nae kazi plus anasoma phd king college londonSasa shida nini hapo? Utakosoa kiingereza cha Mwandishi wa gazeti la The Gurdian kweli?