Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

Kabendera hawezi proove claims zake kwakuwa anategemea watu ambao ndio waliompa hizo taarifa.

Hao watu kwa maelezo yake wanatoka kwenye vyombo vya usalama na wanakuwa na viapo vyao.

Ili athibitishe lazima hao watu waje kutoa maelezo , sasa nani atakuwa tayari kukiuka viapo vyake mbele ya mamlaka, maana huko kifichoni sio sawa na mbele ya mamlaka.
 
Mkuu kitabu hakijaishia hapo tu, kinaenda mbali zaidi kwa kuwapa taarifa watanzania kuwa jiwe alikuwa kichaa. Sasa kama alikuwa kichaa anashindwaje kumbaka makamu wake??
 
Ila Jiwe bana..yaani akanyata na dole ngumba mzee....
😂😂 😂 Najaribu kufikiria yule jamaa (jiwe) akiwa amepandwa na upwiru halafu anainyatia k ya makamu wake. Nacheka mpk nalia.
 
Determinantor
Pascal Mayalla

Kuandika kitabu aina hii ni sawa na kuandika habari za uchunguzi?
Yeye amesoma kitabu bila kusikiliza mahojiano ya mwandishi, yaani alitaka kitabu kieleze data? Hii sio research report na sio thesis, hiki ni memoir ya Mwandishi. Akiona kuna kitu hakiko sawa ndio anatakiwa kuchukua step further ili kupata hizo evidence, Kama Samia alitaka kubakwa, si Samia yupo? Aulizwe. Kuhusu Ben the same, anasema wapo ambao aliwahoji.....
 
Hivi hichi kitabu faida yake kwa wananchi ni nini?
Ndo kitajenga shule?
Ndo kitajenga barabara?
Ndo kitaongeza mishahara ya watumishi?
Ndo kitajenga hospital?
Au ndo kitaleta maendeleo kwa wananchi?

Mtasema labda tujue aliyoyafanya mwendazake.
Alafu tukishajua itusaidie nini?
 
Mfungulie wewe mashitaka kama vipi maana huo uwezo unao.
Msigwa huyu huyu ambaye siku hizi hata miradi aliyoanzisha magufuli akitajwa anasema achana na hiyo awamu imepita sasa hivi tunazungumzia awamu ya sasa yani kama anakereka kutajwa magufuli ndiye unayesema atoe ufafanuzi?
 
Tuletee wewe FACTS.

unapokuwa critic,utuletee alternative, namna nyingine,tutatilia shaka udaktari wako!!

Utakuwa the comedy comedian kama BAMBO,MTANGA, SENGA, 🤣🤣🤣😃😃

HIVI HUKO CANADA, unafanya kazi professional au ndo unachuma matunda??🤣🤣🤣.

Umeandika na kuposti RUBBISH beyond repair 🤣🤣😃🤣🚴🚴🚴🚴
 
Eeghh wewe nawe buana!
 
Huko mahakamani sasa mtaponzana. Yale yale ya GPO yatakwenda kujirudia..!!
 
Kwani huko mahakamani si kunakuwana na mashahidi ambao nao hutegemewa kutoa ushahidi? AU mashahidi wa Kabendera hawatakubali kujitokeza?
 
Kwani huko mahakamani si kunakuwana na mashahidi ambao nao hutegemewa kutoa ushahidi? AU mashahidi wa Kabendera hawatakubali kujitokeza?
Shahidi wa kwanza ni samia, je samia alihojiwa kabla ya publication ?

Mwingine ni Janeth, je alihojiwa ?

Baadh ya walinzi wa JPM wapo na wengine wapo hapo mbweni, je wamehojiwq ?

Major general alietajwq kwenye kitabu yupo, je amehojiwa……. ?

With all that , huoni kitabu kimebeba taarifa zisizo rasmi na shutuma zaidi ?
 
Kabendera kasema ameongea na watu mbalimbali wakiwemo wanasheria. Amesema hayo yaliyoandikwa ni yale tu yanayoweza kutolewa ushahidi pindi ukihitajika. Ambayo hawana namna ya ku-prove ukweli wake wameachana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…