Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

Hapo sawa
 
Mbona rahisi tu, we hujui nini hufata baada ya mtu kufa?

Hujui kuwa mtu akifa kinachofata ni mwili huanza kuoza?

Rejea hoja niliyo iweka usi pindishe hoja kijana.
 
Scripture and Logic/science are two undesirable extremes, their relation don't have a mean.

Its possible to find some correlation explanatory in a thing or two (its by chance) doesn't mean u can use them one another to find senses.

If go with scripture don't expect logic to make sense, or because by chance a certain issue has same perspective in both (it doesn't mean the issue/matter is an undisputably truth), And vise versa.

Goddess mchango wako tafadari

Sent using my Audi A6 [emoji593]2017 model
 

Wataalam wanasema kitabu kinaitaji roho mtakatifu akushukie ili ukielewe mm kila nikisoma ndo maswal yana jaa kichwan nikaona nisubir roho mtktifu.

Mkinieleza kwa kina logic yoyote mnayoiona kwenye jiwe hili la kucheza, naacha kwenda Kanisani kuanzia leo



 
eleza mwenyewe!
Acheni kukimbia wazee, tupeni logic. Kwa sababu mimi naona hizi sayansi mnazichanganya sana, unasoma moja inayofundishwa darasani unaielewa vizuri, halafu nyingine isiyofundishwa darasani unaipoteza kabisa unakuwa "zero". Logic kwenye scenerio ya wewe kuwa namna hii, inakuwa haipo kabisa, yaani wewe kupoteza kabisa kisichofundishwa na kubakiza kile kinachofundishwa tu. Usingebahatika kwenda shule ingekuwaje?
 
l
logic ya nn?
 
Usinisingizie uongo siwezi kuongea habari za kubuni kama ilivyo biblia na qoran
Wee unaetaka kuwaaminisha watu Adam alikuwa mtu wa kwanza ndio nashangaa

Bali na kutaka kuwaaminisha watu Adam ni mtu wa kwanza hata kutolea ushahidi kama aliwahi kuwepo huwezi na hutoweza zitabaki stori kama zile za riwaya ya kusadikika nchi iliyopo angani
 
well said
 
wakati huo anafanya hivyo mungu anamtazama tu?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
wakati huo anafanya hivyo mungu anamtazama tu?
Hapa ndio unashangaa kwanini mungu aliumba shetani?

Kama mungu anajua maisha yako na mwisho kwanini aliumba shetani ambaye anakuja fanya maovu ili watu wamuasi yeye ?

Kama jibu hapana kwanini aliumba moto wa jahanam ?

Ole wake jibu liwe ndio kama mungu aliumba shetani hapa itakuwa inaonyesha mungu hana uelewa na anajipinga mwenyewe kwakuwa kaumba shetani halafu anataka watu wawe wema na kaumba moto halafu anataka watu waende peponi
 
inashangaza sana... kuna wengine husema kwamba amefanya hivyo ili kuwapima watu imani zao...inamaana mungu mjuzi wa yote ameshindwa kutumia ujuzi wake wayote ili kiweza kubaini imani zawatu wake mpaka awajaribu kwanza ndio aweze kupata majibuya imani za waumini wake... sasa huo uweza wake wayote uko wapi.... hizi dini hizi... kuzi fuata yakupasa huna akili
 
Umeongea ponts nzuri sana na hapo ndio inathibitisha bible na Quran ni vitabu vya watu kwakuwa huyo mungu wao ni mwenye kujichanganya kila wakati

Unajua kwanini Roman empire walijiita wacatholic ni kwaajili hiyo ukisema mungu maana ni catholic yote wala sio Allah wala sio Yesu wala sio Yhweh wala sio Adonai

Catholic means Universal
 
exactly kabisa mkuu
 
ukitumia neno universal maana yake hakuna mungu bali nature
 
kiranga anajibu apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…