Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Hapo sawaSwali zuri sana.
Mimi nadhani Nuhu aliishi Middle east.
kama hivi leo utasikia Oman Kuna mafuriko, Au india,au China ,unadhanije itakuwa ndio dunia nzima?
Au ile Maangamizi ya Soma na Bomora ,si yalikuwa pale sodoma tuu!
Kwa hiyo yawezekana kabisa maisha yaliendelea sehemu nyingine za dunia kusikokuwa na Nabii yule .
Lakini pia Yawezekena kuwa Maeneo mengine kulikuwa bado hakuna Watu waliopata kuishi. na yawezekana kabisa ikawa watu wote zama zile walikuwa ni Ile communiity ya Noa peke yao duniani.