Kitabu cha "ushahidi kuwa Mungu hayupo na uchawi haupo" kiko njiani

Ngoja nikueleze kidogo kwamba mjadala wa Mungu yupo au hayupo, uchawi upo au haupo si mjadala wa kiimani, ni mjadala wa kisayansi.

basis ya argument yangu ni ya kisayansi siyo ya kiimani.

Yapo maandishi mengi sana yaliyo "base" kwenye hadithi au mapokeo ya kiimani yanayooeleza mambo mbalimbali ya kiimani na maandishi au simulizi hizi zinadai nyuma ya hayo kuna nguvu inayoitwa mungu, au inayoitwa uchawi inayowezesha hayo kutendeka.

Sasa anayejiuliza Mungu yupo au hayupo si mwana imani, anayejiuliza Mungu yupo au hayupo si mwana imani, anayejiuliza uchawi upo au haupo si mwana imani bali mtu huyu anatafuta kuthibitisha kwa kutumia maarifa ya kibinadamu kuwa Je Huyu anayetajwa mungu yupo au hayupo? je huu uchawi unaotajwa upo au haupo?

nimewaambia nyuma ya imani kuna siri imejificha na siri hiyo ndiyo wanasayansi wanapoitambua wataambieni mungu yupo au hayupo, uchawi upo au haupo na hiyo siri ndiyo kitabu changu kinataka kufunua

Narudia kusema nitaishangaza dunia
 
"Mauzauza: mawe ya ajabu ,anayerusha haonekanipolisi,waandishi wa habari wapigwa,ndio zatumika kujikinga'

Tazama hiyo poltergeist phenomena,imetokea Arusha. Cheki YouTube.
 
Hakuna imani yenye hoja iliyojengeka kielimu
 
"Mauzauza: mawe ya ajabu ,anayerusha haonekanipolisi,waandishi wa habari wapigwa,ndio zatumika kujikinga'

Tazama hiyo poltergeist phenomena,imetokea Arusha. Cheki YouTube.
wanadamu wamekuwa wakitumia matukio kama haya kuthibitisha uchawi. Lakini ukweli ni kwamba hapo hakuna ushahidi wowote wa uchawi.

Hoja hapo ni anayerusha mawe haonekani lakini hoja ya watu kurushiwa mawe siyo ushahidi wa uchawi
 
Mleta mada unafanya janja ya kizamani sana.yoote haya ni ili uuze kitabu chako faster lkn kusema ukweli weye huna la maana ktk kitabu hicho!

Hata km utaamini Mungu hayupo uko sahihi!!...kwa sababu weye si mtoto wake!! ila walio wake wana mjua!...kutokuamini kwako kuwa hayupo haina maana kuwa na mie niamini hivo!

kwanza hata km hayupo kuwa sinta mkuta au haji!! lkn nikamuamini leo!...nikienda nisipo mkuta haita ni gharimu chochote!! zaidi ya mimi kuwa nimeishi kwa amani mda wote!

Tatizo linakuja sasa ukienda huko mbinguni ukamkuta......hebu piga picha itakuwaje kwanza??? na miwani yako mikubwa hiyo........utajinyea kwanza na kujihukumu kabla hajakugusa! moto utaukimbilia mwenyeweee!
 
Awepo asiwepo sisi tunamuabudu tu! KM HUTAKI KUFAAAA!! na kitabu chako hatusomi wala hatutaki kukisikia maarifa mbuzi yaliyomo!
 
Hapa ipo hoja mm nasubil ktabu chako Kwa ham sana,
Hv mungu kabla ya kuumba mbingu na Dunia na vyote vilivyomo yy alikuw wp wkt huo yaan alikuw akiish wp
Maana kila kitu kilianza kwke kw mjbu WA maandko kabla huo mwanzo yey alikuw wp anaish wp hapa Kuna haja ya kufkil nje ya box tusikalilishwe tu vtu na kuamin ndivo ilivo.
 
Uchawi kwa maana supernatural power haupo, ila kuna tricks ambazo watu wakishindwa ku decode wanaita uchawi
Hujakutana nao wazee wa kazi hizo bado ety...??? hongera sana kama unalala usingiz mzuri nani mzima wa afya
 
Zaburi 14 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
 
Mbona mnampiga wakati bado hatujaona fact zake aachwe atoe kitabu chake na baada ya hapo
Mdahalo uanze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…