- Thread starter
- #101
Ngoja nikueleze kidogo kwamba mjadala wa Mungu yupo au hayupo, uchawi upo au haupo si mjadala wa kiimani, ni mjadala wa kisayansi.Right View is very important. Kusema hakuna uchawi siyo Right View kuhusu uchawi.
Unachotakiwa kuamini ni kwamba uchawi labda upo au labda haupo.
Kwamba,kama hakuna uchawi,watu wanaofanya uchawi haupo ,watu wanaofanya uchawi wanapoteza muda wao. Kama upo uchawi watu waelewe wakimdhuru mtu kwa uchawi KWA SABABU YOYOTE,wataadhibiwa.
Lakini kabla hujasema hakuna uchawi ni bora utafute kufahamu kuhusu mantra, mudra na mandala.
Au labda usome vajrabhairava tantras.
Hapo nadhani I have misrepresented the Great Beings kuhusu maoni ya kuhusu Right View.
Right View Ina vipengele viwili.
1. Kwanza lazima uamini kuhusu karma. Kuamini kuhusu karma maana yake Ni kuamini kwamba uovu unaadhibiwa na wema unazawadiwa.
2
Kuamini kwamba ndumba zipo.
basis ya argument yangu ni ya kisayansi siyo ya kiimani.
Yapo maandishi mengi sana yaliyo "base" kwenye hadithi au mapokeo ya kiimani yanayooeleza mambo mbalimbali ya kiimani na maandishi au simulizi hizi zinadai nyuma ya hayo kuna nguvu inayoitwa mungu, au inayoitwa uchawi inayowezesha hayo kutendeka.
Sasa anayejiuliza Mungu yupo au hayupo si mwana imani, anayejiuliza Mungu yupo au hayupo si mwana imani, anayejiuliza uchawi upo au haupo si mwana imani bali mtu huyu anatafuta kuthibitisha kwa kutumia maarifa ya kibinadamu kuwa Je Huyu anayetajwa mungu yupo au hayupo? je huu uchawi unaotajwa upo au haupo?
nimewaambia nyuma ya imani kuna siri imejificha na siri hiyo ndiyo wanasayansi wanapoitambua wataambieni mungu yupo au hayupo, uchawi upo au haupo na hiyo siri ndiyo kitabu changu kinataka kufunua
Narudia kusema nitaishangaza dunia