Muslims unaowajua wana bible kwa sababu walipewa bure makanisani, mashuleni na mahotelini
Ukiingia hotel au gest huwezi kukuta Qoran lakini biblia zimejaa
Kila lugha kila toleo
Hakuna mkiristo anayeweza kuielewa Qoran kwa sababu hata hiyo bible mnaelekezwa wapi msome, wana kondoo!
Muislam akifundishwa kusoma kiarabu, kile cha awali ataweza kusoma na kutafuta tafsiri na kuielewa, utekelezaji ni suala lingine
Waislam pia wanafanya reference si kwa biblia tu, ambao ni mkusanyiko wa vitabu, bali Injili, Taurati na Zaburi kama walivyoamrishwa na mafundisho na ni sehemu ya imani, kuamini katika vitabu vilivyo tangulia
Si ajabu kwa hilo!
Ndiyo maana nasema uislam umejaa vichwani mwenu, kila wakati kuandika ujinga mnasahau ya kwenu
Allah alishasema
Lakum dinikum waliyadin!
Sasa we bibi mzima huna la kuongea zaidi ya “muslims” na “ communist” na aina ya marafiki ulio nao wote mna shida!siyo kweli nawajua wengi tu bongo tena mkianza kuongea kidogo tu anaingia ndani na kutoa Bible kuanza kuonyesha mistari ya kukosoa ...
Uzuri hata nikiielewa uislam sio wangu una mwenyewe na kaahidi ataulinda na kuusimamiacommunists wote hao, nafikiri labda bado haujaielewa vizuri agenda ya communists ...
Huna hoja toa hoja zijibiwe kwa hoja kijanaUislam ni mfumo wa ibilisi shetani. Shetani siku zote alipenda awe na ufalme wake, nage awe kama Mungu, aabudiwe na kuoewa sifa kama Mungu, awe na nyumba za kumwabudia kama Mungu, alilifanikisha hilo kuoitia Muhamad.
Allah ni kinyume cha Yahwe, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu wa manabii wote wa kale, Mungu aliyrkuja kufunuliwa na Kristo Yesu , mwanaye wa pekee. Ndiyo maana sifa za Allah ni kinyume kabisa na Mungu aliyefunuliwa kwa wanadamu na Kristo Yesu:
Mungu wa KristoYesu:
1. Mfalme wa mbingu, Mwingi wa msamaha, mwingi wa upendo na huruma, Mungu aliye mwaminifu na mkweli daima wa ahadi zake. Mungu anayehimiza upendo kwa wote, hata maadui zako.
2. Allah, ufalme wa Ulimwengu, Bingwa wa hadaa, anayehimiza mauaji na kisasi. Allah anahimiza mauaji dhidi ya wasiomkubali.
Hivi nyinyi wagalatia tutakufundisheni mpaka lini kuhusu kumjua Mungu wa kweli na viumbe vyake?Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
View attachment 3677153
Haya ni matapishi ya Allah mkuu wala Mungu hshusiki hapo.Hivi nyinyi wagalatia tutakufundisheni mpaka lini kuhusu kumjua Mungu wa kweli na viumbe vyake?
Jini ni kiumbe Cha Mungu
Binadamu pia ni kiumbe Cha Mungu
Shetani ni sifa ya kumuasi Mungu Yani Kuna majini ni waasi hivyo wanapata sifa ya ushetani
Pia Kuna binadamu ni waasi nao wanapata sifa ya ushetani
Shida ni kwamba nyinyi wagalatia mmeshazoea kudanganywa kiasi kwamba hamjui
Shetani ni nani
Jini ni nani
Endeleeni tu kudanganyana siku zenu za kufa zifike muende Jahanam
Maana Allah anasema atakuingizeni Jahanam alafu atakuambie mwambieni Mungu wenu Yesu aje kukutoeni kama anaweza hapo ndiopo mtapojikita mnaishi Jahanam milele
😁😁😁 hawawezi kukuelewaHuyo ala wa kwenye kurwani ndio shetani mwenyewe.
Hao waliokuletea ukiristo hawamjui Mungu ndio utamjua wewe?Haya ni matapishi ya Allah mkuu wala Mungu hshusiki hapo.
Uzuri hata nikiielewa uislam sio wangu una mwenyewe na kaahidi ataulinda na kuusimamia
Nimekupa mifano ya wazi kua walikuapo watu wa mifano ya hao kabla ya hawa wa leo
Kwahio uislam upo na unaendelea kuenea kama unavyoenea leo kule ulaya naduniani kwa ujumla wake
😁😁😁hao ummah wenzako, kwa nini hawaendi saudi arabia, uae, katar au hata omani tena ni karibu tu?
View attachment 3677489
Wazungu wengi wanaokuja huku wala hawakuzaliwa huku ila wame
Uislam ndio mfumo sahihi wamaisha ya mwanaadam
Kitabu kimeandikwa na mtu unasemaje cha kiislamu?Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
View attachment 3677153
Mimi nilikaa bila kwenda kanisani wala msikitini kwa takribani miaka 7 na hapo nilisha maliza elimu ya sekondari.Wengi ni kwasababu walizaliwa huko mkuu.
Yeremia 3:14 'rudini enyi watoto wenye kuasi asema BWANA maana mimi ni mume wenu.....Uislam ni mfumo wa ibilisi shetani. Shetani siku zote alipenda awe na ufalme wake, nage awe kama Mungu, aabudiwe na kuoewa sifa kama Mungu, awe na nyumba za kumwabudia kama Mungu, alilifanikisha hilo kuoitia Muhamad.
Allah ni kinyume cha Yahwe, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu wa manabii wote wa kale, Mungu aliyrkuja kufunuliwa na Kristo Yesu , mwanaye wa pekee. Ndiyo maana sifa za Allah ni kinyume kabisa na Mungu aliyefunuliwa kwa wanadamu na Kristo Yesu:
Mungu wa KristoYesu:
1. Mfalme wa mbingu, Mwingi wa msamaha, mwingi wa upendo na huruma, Mungu aliye mwaminifu na mkweli daima wa ahadi zake. Mungu anayehimiza upendo kwa wote, hata maadui zako.
2. Allah, ufalme wa Ulimwengu, Bingwa wa hadaa, anayehimiza mauaji na kisasi. Allah anahimiza mauaji dhidi ya wasiomkubali.
😁😁😁
Uzuri kila utapokuja utakula tu za ugoko dogo mpaka ukimbie
Wanaenda kula pension zao zilizofanywa na hao wahalifu na wauaji waloziharibu nchi zao sababu kabla ya kuharibiwa nchi zao na hao wanyang'anyi walikua wametulia makwao vyema tuuu
Mkuu kwani Korani haikuandikwa na mtu?Kitabu kimeandikwa na mtu unasemaje cha kiislamu?
Au kwasababu nwandishi ni muisalamu?
There is a thin line between uislamu na madnessWazungu wengi wanaokuja huku wala hawakuzaliwa huku ila wame
Uislam ndio mfumo sahihi wamaisha ya mwanaadam
Qur’an mpaka leo inaandikwa na watu kakaMkuu kwani Korani haikuandikwa na mtu?
Nahitaji kujifunza brother.