Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Inashtua Mno
Mkuu
"Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.
Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.
theState.
"
Kama unampitia yoga kuna mfanano flani wa story...
Yoga kule anasema Mzee wa 90's atamtoa born town kwa sharti la yeye pia kujitoa na hatakuwepo
kwenye new const..
Huku pia huyo anaeambiwa aage maana hatarudi...
Nadhan huyu wa tumia akili anaembiwa aage na na yule mzee wa 90's kwa Yoga ni mtu mmoja, the Unknown na huyu Boss nao wanaonekana kuwa mtu mmoja.
 
Umeziunganisha Vizuri sana, sikuwa nimeona kama Kuna ufanano. Hapa mambo yanaonekana ni Moto sana Huko na matokeo yake yataonekana.
 
Hii ngoma unaweza kurudia mara kumi na bado kila unapoona umeelewa kumbe ndio unapotea! Katiba mpya pekee ndio wengi wamenasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani hapa nimepata sifuri yenye macho na masikio makubwa.

Tumia akili hakika unatumia akili, ulifunzwa ukafunzika.

Anyway, karibu kila kitu deepstate wanainfluence sana...kila nafasi nyeti ktk nchi hushikwa na watu nyeti.

Kama wewe sio nyeti, basi kubali kunyetishwa.

Anyway, ktk hii dunia wengi ni wasindikizaji tu au mashabiki washabikiayo A kumbe sio A halisi bali ni B
 

Hao watu wanne sijui ndio kin

Miaka miwili ijayo sitaendelea tena! Alianza kusema Director.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…