Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Mwandishi noma, neno ndoto ni CODE pia. Ukiniambia Uliona MAONO au ulikuwa ktk ULIMWENGU wa ROHO ntakubali maana njia hizo tu ndo unaweza kuandika uloshuhudia Kwa ufasaha.
 
Taasisi ndani ya taasisi, unatumwa pia nyuma anakuwepo wa kufuta nyayo zako🙂🙂
 
Anaanza Kwa kusema '' Miaka 2 Sitaendelea tena'' na MWISHO wakati boss anatoka akasema Aga kabisa maana hautarudi'' Code ingine tena. Ukiona unasoma na kurudia tena na usielewe jua UJUMBE HUJAANDIKIWA wewe, waliokusudiwa wameelewa.
 
TTatizo ni Miaka miwili tangu lini ndio hatoendelea!!?tangu 2021 au mwaka huu 2022!!?code Hapo ndio kali Sana!!
Anaanza Kwa kusema '' Miaka 2 Sitaendelea tena'' na MWISHO wakati boss anatoka akasema Aga kabisa maana hautarudi'' Code ingine tena. Ukiona unasoma na kurudia tena na usielewe jua UJUMBE HUJAANDIKIWA wewe, waliokusudiwa wameelewa.
 
Hatari sana maana Hapo hakuna namna ya Kugeuza maagizo. Ni kama Hii taasisi alianzisha mwalimu kusimama behind the scenes kuhakikisha wale Rasmi hawaendi kusikofaa.
Nchi hii IPO juu sana ktk mambo hayo. Yule jamaa kutaka atawale kinyume Cha KITABU ni challenge ndomana ni lazima wakuu wapunguziwe nguvu kupitia KITABU kipya.
 
Yaani mimi nilichoelewa hapa Tumia akili alichofanya ni kuandika kuhusu mwanzo wa the state na nini wanataka kwa Sasa. Kweli ni kama Hawa watu Wana jambo lao.
Ametoa succession plan matata ambayo itaendelea baada ya yeye Kama mkuu wao...Hao wengine wamekuwa trained kwa muda mrefu somuwea....Kisha wanatakiwa wawa groom na wengine ndani na nje baada ya kuwa scrutinize....Eti na mimi najidai najua, daah wajuaji sisi kumbe speculations tu hizi....Hizi ni hadithi za paukwa pakawa zinasaidia sana sana kutuondolea stress wengi wetu tunaotamani taifa hili lifike sumuwea!
 
Huyu atakuwa ndio Mkuu Wao kweli? ninaona anamtaja Boss mwingine. Lakini Kama kweli wapo kwa maslahi ya Nchi ninadhani ni watu Wa muhimu sana.
 
'' Idadi zibakie mbili kama zilivyo'' ndo penye utata hapo. KRM alitaka iwe 1 by mwl ndo akapendekeza 2, Nia ilikuwa baadae tuje kuwa na moja, bt tunavoelekea pwani wanazidi kujiimarisha. Kwa Hal ilivyo sasa 3 hazikwepeki. Hata huyo ajaye ni muumini wa bendera iliyokuwa inapepea nyumbani Kwa mchungaj alitangulia mbele za HAKI Kwa ajali ya gar ya mchongo.
 
Mzee mtikila alikuwa chama GANI VILE!!!? Halafu Pole pole Sio wa kubeza ni kama ana mishe za kimkakati!!!maswala ya mpinga kristo aliwahi kuyazungumza na utawala wa yesu hapa DUNIANI!!labda Mawazo ya Pole pole yapo kichwani mwako Rabbon!
 
Duh mnazidi kunichanganya. Pohamba ndiye master wa code ngumu. Pohamba saidia sisi
 
Mzee mtikila alikuwa chama GANI VILE!!!? Halafu Pole pole Sio wa kubeza ni kama ana mishe za kimkakati!!!maswala ya mpinga kristo aliwahi kuyazungumza na utawala wa yesu hapa DUNIANI!!labda Mawazo ya Pole pole yapo kichwani mwako Rabbon!
Huijui bendera ilikuwa inapepea nyumbani kwake yule mzee? Ina RANGI NYEUSI, NJANO na KIJANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…