NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Kumbe mzee Yule alikuwa part ya mfumo !!?KWA Hiyo walimu excute Baada ya kukamilisha mission Au ni Genge la boy's to men!!?Slow slow hayupo mjengoni, pia muda wa kuifungua seal hiyo ya ajaye Bado Ili kumpunguzia mashambulizi.
Hatar.Kumbe mzee Yule alikuwa part ya mfumo !!?KWA Hiyo walimu excute Baada ya kukamilisha mission Au ni Genge la boy's to men!!?
Miezi ni 9 na sio 11, hesabu vzr.Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. (Ndani ya miezi 11)
Mzee yupi?Kumbe mzee Yule alikuwa part ya mfumo !!?KWA Hiyo walimu excute Baada ya kukamilisha mission Au ni Genge la boy's to men!!?
Unacontradict, ajaye ni muumini wa bendera Ile iliyokuwa inapepea nyumbani Kwa mzee alitetutoka Kwa ajali ''ya mchongo''Kumbe mzee Yule alikuwa part ya mfumo !!?KWA Hiyo walimu excute Baada ya kukamilisha mission Au ni Genge la boy's to men!!?
Yeye ajua maana alijulishwaMkuu kwani Mwenye jina la KWENYE seal anajijua!!?au hata YEYE hajijui!!?
Bado sijawaelewa hizi codeMkuu kwani Mwenye jina la KWENYE seal anajijua!!?au hata YEYE hajijui!!?
Jk ktk ubora wako, aya bhana yupo hakimu wa wote.Wakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.
Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).
Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.
Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.
Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.
Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.
Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.
Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.
Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.
Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.
Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.
theState.
Mkuu jk??😂Jk ktk ubora wako, aya bhana yupo hakimu wa wote.
Ninahisi ni yeye huyu, kama ilivyo Magamba matatu = Makamba senior.Mkuu jk??😂
RIP Mr Born town!!asante KWA kuaga
Aisee hapo itakuwa kazi kwelikweliNinahisi ni yeye huyu, kama ilivyo Magamba matatu = Makamba senior.
Kwamba huyu ndio born town wa boyz to men?RIP Mr Born town!!asante KWA kuaga
Wamesema kitabu Kipya kikichoachwa ndio kitatumika ila kitafanyiwa editing kidogo ili nyumba zisiwe tatu bali ziwe mbili.Nchi hii IPO juu sana ktk mambo hayo. Yule jamaa kutaka atawale kinyume Cha KITABU ni challenge ndomana ni lazima wakuu wapunguziwe nguvu kupitia KITABU kipya.
Wamesema kitabu Kipya kikichoachwa ndio kitatumika ila kitafanyiwa editing kidogo ili nyumba zisiwe tatu bali ziwe mbili.
Hii mi Katiba ya Warioba.
Hapa namimi nitaanza kuwakubali hao watu wasiojulikana wanaoitwa the State nje ya hapo ni wale wale tu.
Katiba mpya haikwepeki Kwa mazingira ya sasa, ni takwa la wananchi. Uchaguzi hauwezi fanikiwa Kwa Katiba hii. Wananchi Wana majeraha makubwa.Wamesema kitabu Kipya kikichoachwa ndio kitatumika ila kitafanyiwa editing kidogo ili nyumba zisiwe tatu bali ziwe mbili.
Hii mi Katiba ya Warioba.
Hapa namimi nitaanza kuwakubali hao watu wasiojulikana wanaoitwa the State nje ya hapo ni wale wale tu.