Unajua kinachonishangaza eti hadi Hawa machawa wa Samia akiwemo huyo mzee
Stuxnet na wenyewe wamepitiwa na huu upepo now wako bize ku-support na ku-spice up hizi habari za Kibendera.
Kwa akili zao ndogo hawajui kwamba hizi tuhuma zinamgusa Moja Kwa Moja mpaka Samia mwenyewe, maana yeye ndio alikuwa msaidizi mkuu wa Magufuli, na kama hiyo haitoshi hata vyombo vya ulinzi anavyotumia Samia ndio vile vile ambavyo vilifanya kazi na Magufuli.
Kwa hiyo ni dhairi kama Kuna athari yoyote itakayotokana na hiki kitabu basi, basi muathirika mkuu itakuwa ni serikali ya Samia na Wala sio mtu mwingine...
Hakika hakuna chawa mwenye akili hata kidogo.