kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Na wewe pia mkuu nipo.....Heri ya Mwaka mpya ndugu,muda sijakusiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe pia mkuu nipo.....Heri ya Mwaka mpya ndugu,muda sijakusiki
Nakuona mke mdogo wa Magu mpaka unajua mke mwenzio alobebeshwa mchanga! Bila shaka ulijua hayo mzee akiwa kifuani/mgongoni pako huku mama wa watu anabeba mchangaMke mdogo ni wewe ambaye unebakia mjane. Nenda Chato kaomboleze kaburini kwake
Nakuona mke mdogo wa Magu mpaka unajua mke mwenzio alobebeshwa mchanga! Bila shaka ulijua hayo mzee akiwa kifuani/mgongoni pako huku mama wa watu anabeba mchangaNakuona mke mdogo wa Magu mpaka unajua mke mwenzio alobebeshwa mchanga! Bila shaka ulijua hayo mzee akiwa kifuani/mgongoni pako huku mama wa watu anabeba mchanga
Mwambie huyu pimbi Crimea maana haelewi kabisa na anadhani Magufuli atafufukaKuna watu wanaabudu mzimu mzee Magu.Wanaona alikuwa Mungu japo sikatai kwao anaweza akawa mungu.Ila hili la kumtetea bila kujua udhaifu wake linatia shaka sana juu ya huko tuendako.Hivi mliwahi kujiuliza kwa nini familia haiongeaji!!.Pia hii ni kufuru kwamba Mungu hana watu wengine zaidi yake.Kama ingekuwa hivyo Mungu angemwacha,na ni vyema kujua akili za Mungu hazichunguziki,yeye ni zaidi ya viumbe vyote.
Majizi na wapumbavu mlikomeshwa na bado soon moto utawakaKipenzi cha wapumbavu tu
Akili hamna hapa.Kwa vile siyo yeye Samia anayewateka kama ilivyokuwa kwa Magufuli.
Mara zote mjinga ndiye huhitaji vitabu asome ili aondoe huo ujinga wake. Sasa wewe endelea na ujuaji wako na sisi wajinga TUTANUNUA. Adui namba moja Tz ni ujinga.Atauzia wajinga wenzie!
Hata Lissu hanunui hizo karatasi
View attachment 3190112
Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa
Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi.
Anaelezea jinsi alivyotekwa nyara, kufungwa, na hali ya kisiasa iliyojaa ukiukwaji wa haki za binadamu na kukandamiza sauti za upinzani. Kitabu hiki ni onyo kuhusu udhaifu wa demokrasia na hatari wanazokumbana nazo wale wanaopinga utawala wa kiimla.
Kitabu kinatarajiwa kuchapishwa tarehe 3 Februari 2025.
HahahahIla Chadema 🐼🐼