Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe shetan ni mtuKuzidi shetani
Tulio ishi ADA ESTATE,Hilo la bi mkubwa kuhamisha mchanga ni kweli, Sema mzee alikuwa mkoloni dah na pick up lake pale home, Mkewe anaenda Mbuyuni shuleni na mguu dahWewe popoma muabudu Magufuli unapoteza muda na alinacha zako.
Kwenye uhai wa Magufuli hata familia yake ilikuwa inateseka. Na alipokufa familia ilifurahi sana. Hivi unajuwa kuwa Magufuli alibaka binti yake mwaka 2012 na binti aka commit suicide? Hivi unajuwa Mama Janet Magufuli aliwahi kubeba kwa kwa kichwa mchanga kutoka sehemu ambayo Lori lime mwaka kwa makosa kwenda sehemu aliyotaka Magufuli pale Ada Estate?
Au nikuwekee picha ya mama Janet uone alivyonawiri sasa?? Tofauti na kipindi cha DIKTETA
Haya mapimbi yanalipwa elfu kumi kumi tu kuchafua watu...Aaargh
Wenzako waliokuwa wanamchukia sasa hivi wanatajirika balaa, hawana shughuli nae tena
Kama chuki zako hazina uhusiano na deal, sijui usaidiwe vipi.
Halafu mama aliingia na bahati ya kumwagiwa mihela na wazungu. Uoni deni la taifa lilivyokuwa.
Wenzako matajiri
Mbona umeongelea tu Magufuli na SirroKwanza familia ya Magufuli ikiamua inaweza mfungulia kesi ya madai kwa kutumia picha yake kuuza kitabu bila ya ridhaa yao.
Uwezi kuokota tu picha ya mtu for commercial exploitation bila ya ridhaa yao,
Inategemea picha umeitumia vipi na kwa context zipi.Mbona umeongelea tu Magufuli na Sirro
Magufuli asingekua Rais familia ingemshtaki Kabendera ila kwa vile ni public figure kutumia Picha yake inakua siyo issue tena ya familia ni ya Serikali , ni kama Lisu alivyoshindwa kwenda mahakamani kumshtaki Samia kutumia picha yake kwa sababu haipo copyrighted na yeye wala kampuni yake maadam hajamdharirisha
Kama angekuwa ni Mbowe mbona ingekuwa ni rahisi tu kumkamata na kumshataki Mahakamani!! Unapoona kuwa hata RB ya Polisi haijafunguliwq ujuwe mhusika ni Taasisi.Ben saa nane ni kazi ya Mbowe ila wajinga hamjui
Deni la Taifa linahimilika. So far Tanzania haiko kwenye top 10 ya most indebted countries in Africa.Aaargh
Wenzako waliokuwa wanamchukia sasa hivi wanatajirika balaa, hawana shughuli nae tena
Kama chuki zako hazina uhusiano na deal, sijui usaidiwe vipi.
Halafu mama aliingia na bahati ya kumwagiwa mihela na wazungu. Uoni deni la taifa lilivyokuwa.
Wenzako matajiri
Asante mkuu kwa kushuhudia. Hii alone Crimea na Mayor QuimbyTulio ishi ADA ESTATE,Hilo la bi mkubwa kuhamisha mchanga ni kweli, Sema mzee alikuwa mkoloni dah na pick up lake pale home, Mkewe anaenda Mbuyuni shuleni na mguu dah
Hivi unamchafuaje mchafu? Magufuli ameingia madarakani akiwa mchafu, na akaendelea kuwa mchafu. Tungewezaje kumchafua?Haya mapimbi yanalipwa elfu kumi kumi tu kuchafua watu...
Hii nchi iko chini ya wana mtandao..
Wanayatumia haya mapimbi kuchafua watu huku wao wanakula mkate.
Life goes onDeni la Taifa linahimilika. So far Tanzania haiko kwenye top 10 ya most indebted countries in Africa.
Wewe ni ANTI -Samia, ila wakati mwingine shirikisha halmashauri ya ubongo wako.
Hicho kitabu kinauzwa TZS??????View attachment 3190112
Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa
Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi.
Anaelezea jinsi alivyotekwa nyara, kufungwa, na hali ya kisiasa iliyojaa ukiukwaji wa haki za binadamu na kukandamiza sauti za upinzani. Kitabu hiki ni onyo kuhusu udhaifu wa demokrasia na hatari wanazokumbana nazo wale wanaopinga utawala wa kiimla.
Kitabu kinatarajiwa kuchapishwa tarehe 3 Februari 2025.
Kipindi cha Samia tunaona watu wanatekwa na kuuwawa...Hivi unamchafuaje mchafu? Magufuli ameibgia madarakani akiwa mchafu, na akaendelea kuwa mchafu. Tungewezaje kumchafua?
Ndiyo maana Mungu akamtupilia jehanam kwa uchafu wake
View attachment 3190112
Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa
Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi.
Anaelezea jinsi alivyotekwa nyara, kufungwa, na hali ya kisiasa iliyojaa ukiukwaji wa haki za binadamu na kukandamiza sauti za upinzani. Kitabu hiki ni onyo kuhusu udhaifu wa demokrasia na hatari wanazokumbana nazo wale wanaopinga utawala wa kiimla.
Kitabu kinatarajiwa kuchapishwa tarehe 3 Februari 2025.
Hayo ni mambo ya kiume utayajulia wapi? We tafuta vitabu vya mapishi ndio size yako!Acha uzushi na uongo! Chuki binafsi peleka huko! CHADEMA!
Kitabu kingeandikwa in the name of JiweTulio ishi ADA ESTATE,Hilo la bi mkubwa kuhamisha mchanga ni kweli, Sema mzee alikuwa mkoloni dah na pick up lake pale home, Mkewe anaenda Mbuyuni shuleni na mguu dah
Hamna mazuri ndani yake?Kwanza familia ya Magufuli ikiamua inaweza mfungulia kesi ya madai kwa kutumia picha yake kuuza kitabu bila ya ridhaa yao.
Uwezi kuokota tu picha ya mtu for commercial exploitation bila ya ridhaa yao,