Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

Aaargh

Wenzako waliokuwa wanamchukia sasa hivi wanatajirika balaa, hawana shughuli nae tena

Kama chuki zako hazina uhusiano na deal, sijui usaidiwe vipi.

Halafu mama aliingia na bahati ya kumwagiwa mihela na wazungu. Uoni deni la taifa lilivyokuwa.

Wenzako matajiri
Wewe kenge hujui kitu zaidi ya chuki tu
 
Hicho kitabu kinauzwa TZS??????
Nataka nkinunue nijue yaliyomo.
Bei hii hapa kwa Kindle na kwa Amazon:-
Screenshot_20250102_064628_Parallel Space.jpg
 
Kipindi cha Samia tunaona watu wanatekwa na kuuwawa...

Kama kweli nia yenu ni njema!

Mbona sijawahi kuona nyuzi za kumtuhumu yeye moja kwa moja?

Au Kibao, Soka na wenzake wapo sehemu hawajafa?
Kwa vile siyo yeye Samia anayewateka kama ilivyokuwa kwa Magufuli.
 
Kwa vile kitabu hicho itakuwa ngumu kuuzika kwa uwazi hapa Tanzania, na kukinunua Amazon bado asilimia kubwa ya Watanzania hawaelewi basi Kabendera aki release Free online katika PDF ili Watanzania wawe na uelewa wa viongozi wao na wasiwakubali ki mihemko hemko.
Atakuwa kalisaidia sana Taifa
 
View attachment 3190112
Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa

Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi.

Anaelezea jinsi alivyotekwa nyara, kufungwa, na hali ya kisiasa iliyojaa ukiukwaji wa haki za binadamu na kukandamiza sauti za upinzani. Kitabu hiki ni onyo kuhusu udhaifu wa demokrasia na hatari wanazokumbana nazo wale wanaopinga utawala wa kiimla.

Kitabu kinatarajiwa kuchapishwa tarehe 3 Februari 2025.
 
Attachments

  • 2574448-4465ebe2627ce1b1ebcb925b7e7e8e4d.mp4
    3.7 MB
Familia ilisema haitamjibu mtu yoyote muda ndo utajibu
Na ni bora wanyamaze tuu waendelee kula maisha yao kwa kodi za Watanzania. Hata mke wa Hitler Eva Braun angeulizwa kuhusu mumewe angesema ni mtu mwema.
Mtu akifika nafasi ya juu kama Rais aachwe asemewe na wananchi sio familia maana familia haiwezi kutamka kwenye makosa yake na pia itakuwa inanunua ugomvi wake ikimsifu.
 
Raisi samia kwa uwezo ulionao bila kujali piga marufuku ya taka taka ya kabendera ukiwacha upuuzi umee kesho atakuja kusema wewe pia ulishiriki kumpiga lissu risasi maana ulikuwa makamu wa raisi kabendera ni msaliti katika nchi hii kabendera ana chuki na tanzania si mzalendo na inasemekana si mtanzania......
Ili kukomesha ujinga kama huu usijirudie kwa wengine kulala na kuamua kuchafua wengine na taasisi ya uraisi kabendera ashtakiwe kwa uchochezi na kutunga uongo asiyo na ushahidi akishindwa na apigwe faini ya mabilioni ya shillingi......swali kabendera katumwa na nani na ni nani katika nchi hii aliye na ujasiri kuliko raisi wa tanzania?
Kichwa cha habari anauliza, content hamna mahali kauliza..
Why mnapenda kumlisha rais maneno?
Hisia zenu binafsi keep it to yourselves
 
Raisi samia kwa uwezo ulionao bila kujali piga marufuku ya taka taka ya kabendera ukiwacha upuuzi umee kesho atakuja kusema wewe pia ulishiriki kumpiga lissu risasi maana ulikuwa makamu wa raisi kabendera ni msaliti katika nchi hii kabendera ana chuki na tanzania si mzalendo na inasemekana si mtanzania......
Ili kukomesha ujinga kama huu usijirudie kwa wengine kulala na kuamua kuchafua wengine na taasisi ya uraisi kabendera ashtakiwe kwa uchochezi na kutunga uongo asiyo na ushahidi akishindwa na apigwe faini ya mabilioni ya shillingi......swali kabendera katumwa na nani na ni nani katika nchi hii aliye na ujasiri kuliko raisi wa tanzania?
Heri ya Mwaka mpya ndugu,muda sijakusiki
 
Kabendera anacheza na hasira zetu watanzania za kuondokewa na Rais kipenzi cha wengi, shujaa na mwamba wa Africa

Ajitathimini haraka
 
Raisi samia kwa uwezo ulionao bila kujali piga marufuku ya taka taka ya kabendera ukiwacha upuuzi umee kesho atakuja kusema wewe pia ulishiriki kumpiga lissu risasi maana ulikuwa makamu wa raisi kabendera ni msaliti katika nchi hii kabendera ana chuki na tanzania si mzalendo na inasemekana si mtanzania......
Ili kukomesha ujinga kama huu usijirudie kwa wengine kulala na kuamua kuchafua wengine na taasisi ya uraisi kabendera ashtakiwe kwa uchochezi na kutunga uongo asiyo na ushahidi akishindwa na apigwe faini ya mabilioni ya shillingi......swali kabendera katumwa na nani na ni nani katika nchi hii aliye na ujasiri kuliko raisi wa tanzania?
........Mzee Kibao muda taongea pia...labda Yeye yumo kitabu kijacho cha .....TL ? Muda utasema yoote damu ya mtu nzito haitaenda bure
 
Back
Top Bottom