Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

Basi na wewe andika kitabu kinachomhusisha Samia na unyama wa Magufuli na ukiuze. Shida iko wapi?
 
Mpumbavu ni wewe ila hujijui. Unamuona Samia ni mtu wa kuagiza watu wauliwe? Samia anaweza akawa na udhaifu wake lakini siyo huo wa kuteka watu na kuua
 
Mpumbavu ni wewe ila hujijui. Unamuona Samia ni mtu wa kuagiza watu wauliwe? Samia anaweza akawa na udhaifu wake lakini siyo huo wa kuteka watu na kuua
Uwezo wako wa kifikra ni mdogo sana kuliko hata WA mtoto WA miaka mitano, ndio maana unatoa comments za kipuuzi hivi.

Inavyonekana kabla ya Samia hajaokota uraisi uliishi maisha ya dhiki sana na ndio maana Sasa hivi unamuona malaika yaani umededicate maisha yako kumtetea mpaka tone la mwisho.....

Kweli mpumbavu akizeeka anakuwa ni mzigo mkubwa sana Kwa taifa
 
Kila mtu ashinde mechi zake, tusipangiane nani wa kumsapoti. Wewe unayesubiri mungu wako Magufuli afufuke endelea kumtetea. Sisi tunaishi kwenye UHALISIA
 
Kwanza kama alikuwa anawaandikia watanzania Kwanini ameandika Kwa hiyo lugha?

Ni watanzania wangapi wanayoielewa hiyo lugha??
Labda wewe ndio huelewi, lakini inafundishwa kwa masomo yote kuanzia kidato cha kwanza na kuendelea. Na elimu ya sekondari kwa sasa ni lazima.
Pia sheria zote zinazopitishwa bungeni ni kiingereza tupu! Pole kama hujui, maana hata humu JF utakuwa unajipotezea muda wako bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…