Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua PM nikuambie jambo la kushangaza KIDOGO!halafu uniambie nini Maana yake!!?Mkt Mbowe na Sa100 wameamua kutuchezesha.
Sisiem hawamwelewi mkt wao, hapo hapo CDM hawamwelewi Mbowe.
Ama Kweli,
"Confusion is the home of DARKS".
Atakua kiongozi wa ccm wa ajabu ikiwa atajiingiza kwenye mikutano na makomgamano ya chadema. Wanaccm wawe macho mama ana asili ya harakati zsiizokua na tija kwa sera na itikadi ya ccm. Tusisahau anatokea kwenye ngo ambazo kwa desturi zinakua financed na mabeberu. Kabla wanaccm hawajafungua macho atakivuruga chama hicho.Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA.
Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano wa kurudi kanda ileile baada ya siku tatu kutokea Arusha nafikiri ni jambo gumu ila linawezekana. Pia, yawezekana kuna mialiko mingine karibu zaidi kapatiwa kulingana na ratiba yake.
Yote kwa yote, kuhudhuria na kutohudhuria kunatokana na ratiba yake. Tuachane na kutohudhuria na sasa tujikite kwenye kuhudhuria.
Kuhudhuria kwa Rais Samia kwenye kongamano hilo kwa mtazamo wangu itahitimisha ile safari ndefu ya ni nini hatima ya Mdee na wenzake.
Siku hiyo Rais atatangaza upatinisho wa Mdee na wenzake na Chama chao. Baada ya Rais kuwapatanisha , Mbowe atatangaza kuwakuba Tena kama wanachama halali na hapo 'handshake' itafanyika na hatima ya Mdee na wenzake itajulikana.
Kitendo hicho kitawatesha sana wanachama wa kawaida wa CHADEMA na watapitia mateso makali sana. Na hapo ndipo swali litaibuka, Je kurejea kwa Mdee ni asset au liability?
Sitaki kusema leo kwamba ni asset au ni liability kwa sababu mateso ya wanaCHADEMA yataongezeka zaidi.
Kitakachofuata ni kwamba kesi ya Mdee na wenzake itafutwa na CHADEMA hawatoonesha nia ya kuendelea nayo.
Unaweza mention hayo madhambi ya Lema mpaka kua na kesi?
Nafasi ya Polepole ilizibwa kitambo na nafasi za kikatiba alizonazo Rais za kuwateua wabunge zimekwisha kwa wabunge wa kiumeKesi ikifutwa maana yake Waliofungua kesi wamekubaliana na uamuzi wa kufukuzwa Chadema na kufutwa ubunge wao.
Kitakachofuata ni Kamati kuu ya Chadema iwarudishie uanachama na kisha ianze upya kuteua wabunge.
Na Mama Samia huenda akamteua Lissu na Mbowe kuwa Wabunge maana Rais anayo mamlaka ya kuteua wabunge wataziba zile nafasi za kina Balozi Polepole.
Muasi gani anatamani kurejea chadema. Chadema ni debe tupu linalovuma. Wakati ccm ya samia inawapa vigogo wake kamba wale malisho kwa urefu wa kamba zao chadema wamepewa kamba ya kujinyonga na samia.Kuna watu wataishia kupiga ramli chonganishi na za kubahatisha sana.. Kumbukeni CHADEMA sio CCM yenye matawi kibao
CCM asili
CCM maslahi
CCM makinikia
CCM jiwe
CCM samoa gang nknk
CHADEMA ni moja na itabaki kuwa moja ndio maana waasi wengi wanatamani kurejea
Uliza ktk codes itaeleweka.Fungua PM nikuambie jambo la kushangaza KIDOGO!halafu uniambie nini Maana yake!!?
Mimi nimekuelewa kabisa.Muasi gani anatamani kurejea chadema. Chadema ni debe tupu linalovuma. Wakati ccm ya samia inawapa vigogo wake kamba wale malisho kwa urefu wa kamba zao chadema wamepewa kamba ya kujinyongea na samia.
Time will tell
Kina Mdee na Mzee Slaa watasamehewa na kurudi chamani...Mama arudi nao tu huko alikowatoa hao walitusliti wakati mgumu sana sasa ndio wanaona mteremko wanajileta kinyumenyume.
Ndio tutaamini kuwa walikuwa na baraka za chama walipoenda Bungeni.Kina Mdee na Mzee Slaa watasamehewa na kurudi chamani...
mbona inajulijana kuwa wanasamehewa maana hiyo ruzuku wanayopewa ni pamoja na hao wabunge wakiwafukuza ruzuku hiyo hawataipataKeshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA.
Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano wa kurudi kanda ileile baada ya siku tatu kutokea Arusha nafikiri ni jambo gumu ila linawezekana. Pia, yawezekana kuna mialiko mingine karibu zaidi kapatiwa kulingana na ratiba yake.
Yote kwa yote, kuhudhuria na kutohudhuria kunatokana na ratiba yake. Tuachane na kutohudhuria na sasa tujikite kwenye kuhudhuria.
Kuhudhuria kwa Rais Samia kwenye kongamano hilo kwa mtazamo wangu itahitimisha ile safari ndefu ya ni nini hatima ya Mdee na wenzake.
Siku hiyo Rais atatangaza upatinisho wa Mdee na wenzake na Chama chao. Baada ya Rais kuwapatanisha , Mbowe atatangaza kuwakuba Tena kama wanachama halali na hapo 'handshake' itafanyika na hatima ya Mdee na wenzake itajulikana.
Kitendo hicho kitawatesha sana wanachama wa kawaida wa CHADEMA na watapitia mateso makali sana. Na hapo ndipo swali litaibuka, Je kurejea kwa Mdee ni asset au liability?
Sitaki kusema leo kwamba ni asset au ni liability kwa sababu mateso ya wanaCHADEMA yataongezeka zaidi.
Kitakachofuata ni kwamba kesi ya Mdee na wenzake itafutwa na CHADEMA hawatoonesha nia ya kuendelea nayo.
Ruzuku haitokani na wabunge wa viti maalumumbona inajulijana kuwa wanasamehewa maana hiyo ruzuku wanayopewa ni pamoja na hao wabunge wakiwafukuza ruzuku hiyo hawataipata
Acha uchizi, mbowe syo kamati kuu, kina mdee walifurushwa na kamati kuu na ndo yenye mamlaka ya kuwasamehe.Hili halihitaji utabiri. Linajulikana. Ambaye hafurahishwi na uamuzi wa Mbowe ahame chama. Aende hata CHAUMMA
Mbowe ndo CHADEMA na CHADEMA ndo Mbowe. Kamati kuu ni rubber stamp.Acha uchizi, mbowe syo kamati kuu, kina mdee walifurushwa na kamati kuu na ndo yenye mamlaka ya kuwasamehe.
Over
Kesi itafutwa kama ilivyofutwa ya Lema. Wewe mwanachama wa kawaida kaa kimya. Sisi tuko na Mbowe.
Hili halihitaji utabiri. Linajulikana. Ambaye hafurahishwi na uamuzi wa Mbowe ahame chama. Aende hata CHAUMMA
Ni ngumu Sana kumtoa Halima Mdee Chadema
Uamuzi wa Mbowe hauwezi pingwa na baraza kuu zaidi ya kuubariki.Acheni kupotosha. Chama kimeshawafukuza kupitia baraza kuu na Kamati, hapo msamaha utaanzia kamati kuu na baraza kuu.
Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA.