Kitakachofuata kwa Mdee na wenzake baada ya Rais Samia kuhudhuria mwaliko wa kongamano la BAWACHA, kitawaumiza sana CHADEMA

Mkt Mbowe na Sa100 wameamua kutuchezesha.

Sisiem hawamwelewi mkt wao, hapo hapo CDM hawamwelewi Mbowe.

Ama Kweli,

"Confusion is the home of DARKS".
 
Mkt Mbowe na Sa100 wameamua kutuchezesha.

Sisiem hawamwelewi mkt wao, hapo hapo CDM hawamwelewi Mbowe.

Ama Kweli,

"Confusion is the home of DARKS".
Fungua PM nikuambie jambo la kushangaza KIDOGO!halafu uniambie nini Maana yake!!?
 
Atakua kiongozi wa ccm wa ajabu ikiwa atajiingiza kwenye mikutano na makomgamano ya chadema. Wanaccm wawe macho mama ana asili ya harakati zsiizokua na tija kwa sera na itikadi ya ccm. Tusisahau anatokea kwenye ngo ambazo kwa desturi zinakua financed na mabeberu. Kabla wanaccm hawajafungua macho atakivuruga chama hicho.
 
Nafasi ya Polepole ilizibwa kitambo na nafasi za kikatiba alizonazo Rais za kuwateua wabunge zimekwisha kwa wabunge wa kiume
 
Muasi gani anatamani kurejea chadema. Chadema ni debe tupu linalovuma. Wakati ccm ya samia inawapa vigogo wake kamba wale malisho kwa urefu wa kamba zao chadema wamepewa kamba ya kujinyonga na samia.
Time will tell
 
Muasi gani anatamani kurejea chadema. Chadema ni debe tupu linalovuma. Wakati ccm ya samia inawapa vigogo wake kamba wale malisho kwa urefu wa kamba zao chadema wamepewa kamba ya kujinyongea na samia.
Time will tell
Mimi nimekuelewa kabisa.
 
Mama arudi nao tu huko alikowatoa hao walitusliti wakati mgumu sana sasa ndio wanaona mteremko wanajileta kinyumenyume.
Kina Mdee na Mzee Slaa watasamehewa na kurudi chamani...
 
mbona inajulijana kuwa wanasamehewa maana hiyo ruzuku wanayopewa ni pamoja na hao wabunge wakiwafukuza ruzuku hiyo hawataipata
 
Hili halihitaji utabiri. Linajulikana. Ambaye hafurahishwi na uamuzi wa Mbowe ahame chama. Aende hata CHAUMMA
Acha uchizi, mbowe syo kamati kuu, kina mdee walifurushwa na kamati kuu na ndo yenye mamlaka ya kuwasamehe.
Over
 
Acha uchizi, mbowe syo kamati kuu, kina mdee walifurushwa na kamati kuu na ndo yenye mamlaka ya kuwasamehe.
Over
Mbowe ndo CHADEMA na CHADEMA ndo Mbowe. Kamati kuu ni rubber stamp.
 
Kesi itafutwa kama ilivyofutwa ya Lema. Wewe mwanachama wa kawaida kaa kimya. Sisi tuko na Mbowe.

Kesi kafungua Halima Mdee, na akifuta kesi ina maanisha maamuzi ya baraza kuu na kamati kuu yanakuwa na nguvu.
 
Hili halihitaji utabiri. Linajulikana. Ambaye hafurahishwi na uamuzi wa Mbowe ahame chama. Aende hata CHAUMMA

Acheni kupotosha. Chama kimeshawafukuza kupitia baraza kuu na Kamati, hapo msamaha utaanzia kamati kuu na baraza kuu.
 

Tatizo unadakia mambo katikati. Kwanza, wale walishafukuzwa na Kamati kuu na baraza kuu, huwezi kuwarudisha kienyeji mpaka vikao vikae upya Tena.
 
Hili halihitaji utabiri. Linajulikana. Ambaye hafurahishwi na uamuzi wa Mbowe ahame chama. Aende hata CHAUMMA

Mnajificha kwenye kauli za uongo, maamuzi ya kufukuzwa yalifanywa na Kamati kuu na baraza kuu, wale wahamia ACT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…