Kitakachofuata kwa Mdee na wenzake baada ya Rais Samia kuhudhuria mwaliko wa kongamano la BAWACHA, kitawaumiza sana CHADEMA

Kwani mtu akiwa na kesi si ndio madhambi,au ww unadhani KUZINI ndo dhambi tu?.
 

Kipi cha kuwaumiza CDM hapo?
 
Mzee hiyo ishaisha si umesikia mawakili wamesema hawana cha kuendelea kuwaoji hao wamama,Kama zilivyofutwa kesi za LEMA basi na za hao wamama zitafutwa.
Wamesitisha kutoa maswali ya dodoso. Naona bado ni ngumu kwenu kuelewa maana ya jambo hili.
Hapa JF kungekuwa na ule utulivu wa zamani na huu utoto uliojaa sasa hivi haupo tungemwalika mwanasheria yeyote nguli afundishe maana ya jambo hili maana mnatafsiri tofauti na uhalisia
 
Hakuna mwanachadema mwenye akili timamu atakaeteseka kwa sababu wanaamini katika maridhiano
 
Mzeee ww tafta namna ya kuendesha maisha nje ya siasa kama sisi,hapo hakina mdee wanarudi kwenye chama na maisha yanaenda!
 
mbona inajulijana kuwa wanasamehewa maana hiyo ruzuku wanayopewa ni pamoja na hao wabunge wakiwafukuza ruzuku hiyo hawataipata
HUO NI UONGO!
Acheni ujinga, hakuna ruzuku inayotolewa kwa ajili ya wabunge wa viti maalum, ni kwa kura za urais na asilimia ya kura za majimboni.
 
HUO NI UONGO!
Acheni ujinga, hakuna ruzuku inayotolewa kwa ajili ya wabunge wa viti maalum, ni kwa kura za urais na asilimia ya kura za majimboni.
Mbumbumbu na wapotoshaji ni wengi mno
 
Kesi bado inaendelea. Upande wa kina Mdee utaanza kuhoji upande wa CHADEMA. Msiwe na haraka ya kuongea.

Watu hawajui sheria lkn wanataka kutufundisha wanasheria
Kibatala akili mingi sana kichwani,kufupisha dodoso ni kutaka hukumu itoke mapema ingawa akina Mdee hawataki hukumu itoke mapema!
Kama mjuvi wa sheria sioni wapi akina Madee wanaponea hata wao wanajua
Mdee na wenzake ni wahuni wa Magufuli na hawana uhakika kama Mama Samia atabariki uhuni wao.
 
Hiyo siku Mama atakuwa Jijini Mwanza.
 
Hivi mkutano wenyewe ni lini? Erythrocyte I have lost track!
 
Kwani mtu akiwa na kesi si ndio madhambi,au ww unadhani KUZINI ndo dhambi tu?.
Hapa ndipo naamin yanayosemwa humu kua wengi humu mnaandikiwa thread au kupewa notice hivyo mnafanya kucopy na kupaste!! That's why yakija maswal juu ya ulicholeta kujibu inakua ngum!!
 
Hapa ndipo naamin yanayosemwa humu kua wengi humu mnaandikiwa thread au kupewa notice hivyo mnafanya kucopy na kupaste!! That's why yakija maswal juu ya ulicholeta kujibu inakua ngum!!
Kosa ni neno tafsiri ya kisheria ila dhambi ni neno tafsri ya maandiko matakatifu.
 
kumbe chadema bado ipo ila samia akihudhuria bawacha ndo chadema itaumia, ndio maana huwa nawambia ccm ni wapumbavu kila siku mnatuaminisha kuwa chadema imekufa leo mnasema samia akihudhuria mkutano wa bawacha chadema itaumia na sio hata kufa empty brains discuss nonsensical issues and lies while full brains discuss developmental issues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…