Kitakachofuata kwa Mdee na wenzake baada ya Rais Samia kuhudhuria mwaliko wa kongamano la BAWACHA, kitawaumiza sana CHADEMA

Wapenda migogoro kazini.
Acheni watu wasameheane maisha ni mafupi sana.
Furaha ya ccm ni kuona cdm ikiwa vipande vipande
kwanza kama kuna mtu anategemea chadema kuwa vipande atakuwa mfuas wa majiz ya kura aka genge la majambaz ya kura au vibaraka wao wale Act wazalendo fake tofaut na hapo ni sawa na kusubir embe kwenye mti wa mgunga.
 
Mzee hiyo ishaisha si umesikia mawakili wamesema hawana cha kuendelea kuwaoji hao wamama,Kama zilivyofutwa kesi za LEMA basi na za hao wamama zitafutwa.
hujui sheria wewe kama yule jamaa anayetuleteaga notes za administrative law humu jf ambaye huwa nawaona mnamuita mkonge humu jf.
 
hujui sheria wewe kama yule jamaa anayetuleteaga notes za administrative law humu jf ambaye huwa nawaona mnamuita mkonge humu jf.
Sheria ya nini na ina msahada gani wakati mama anasamehe watu juu ya Gari na kesi zinafutwa huko mahakamani?
 
UNA KAZI SANA KWANINI USISUBIRI HIYO KESHO IFIKE TUONE KAMA ATAHUDHURIA AU LA KWANINI MNAPENDA KUPIGA RAMLI?
 
Uko sahihi 100%
 
Samia anautaka urais 2025 hizi ni kampeni za miaka miwili kabla. Kule CCM ameshamaliza hivyo kwa sasa anamaliza kabisa huku CHADEMA.

Silaha ya JPM ilikuwa ni mabavu ya wazi kabisa, silaha ya SSH ni ulaini wa sauti na nguvu ya hoja ukichanganya na unyenyekevu.

Mwanamke alikitaka kichwa cha nabii wa Mungu katika sahani ya chakula na akaletewa, hawezi kuzishindwa hizi siasa zetu.
 
Ila ccm watu wanaroho mbaya na chuki sana.
 
Wamefika ukumbini wamefukuzwa🏃🏃🏃
 
Acha kupiga ramli dogo, nyie chipukizi wa ccm mmeumia sana kwa hizi siasa za kistaarabu za kuvumiliana. Mlizoea siasa za kuuana Sasa mnapata tabu sana
 
Tupe update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…