Kitambulisho cha Mjasiriamali kilivyoleta mateso katika jamii

Kama kawaida mkiwa tricked once Wala hamjisumbui kiumiza kichwa kijinasua , kitambulisho kwa maneno ya kwanza kilikuwa ni 2000 kwa mwako, kwa Sasa hivi vina expire Kila baada ya miezi mitatu,
Seamlessly mjasilamali naye ana four quarters za tax payment just like mfanyabiashara wa kawaida tu
 
Kama serikali Ina nia ya kuwasaidia hii kodi ya mjasiliamali ingeondolewa kwa wenye mitaji midogo. Fikiria ni lini mtu huyu ataweza kununua mabati na kuboresha mahaki anapolala.
Wenye mawazo Kama yako ndo wanataka Lissu awe rais! Watu wa ajabu Sana.
 
Kodi yeyote kwa mtu mwenye mtaji below 250K ni kumuonea tuu
 
Kodi yeyote kwa mtu mwenye mtaji below 250K ni kumuonea tuu
Fikiria hiyo 20,000 ndiyo nafasi pekee ya mama huyu kununua angalau vitenge vipya mara moja kwa mwaka. Unachukua 20,000 kutoka kwa mtu mwenye viraka mwilini.
 
Watoto Hadi waweze kumtafutia 20000 mama yao inabidi kwanza wakuzwe ,pengine mama ndo anapambana kuwakuza watoto ,
Hoja yako ya kulipishwa 1000 na manispaa kweli hapo kitambulisho kinakuwa ni nafuu, lakini inatakiwa ujue kuwa wengi wanaodaiwa hivi vitambulisho kwa Sasa , sio wafanyabiashara rasmi, hawana hata maeneo ya hizo biashara na hawako rasmi, manispaa ilikuwa haimbani mama aliyelima spinach na matembele uani kwake anapoamua kuuza mboga zake , kitambulisho kinambana mama huyo!, Pika togwa weka kwenye chupa za pepsi kibarazani watu wa kitambulisho watakusumbua .
Kuna kundi Fulani kwa kuzingatia kipato lilitakiwa Lowe exempted na Mambo ya kodi, nahisi ndo sababu mukulu kasema sio lazima kuwa nacho kwa sasa
 
Acha mawazo ya kifukara, Kodi ni ya wajasiriamali wadogo wadogo, kwanini unalazimisha wawe wauza mchicha tuu? Wewe ndo mjinga.
Binafsi Sina shida na kitambulisho hiki kwa wajasiliamali waliokuwa rasmi na walikuwa wanalipa Kodi kandamizi za manispaa
Nina shida na aliyewaingiza wauza mchicha na watafuta rizki ndogo ndogo kwenye mfumo huu, Raisi juzi alipolijibu hili alisema kitambulisho ni hiari sio lazima , definetly alikuwa ameona mapungufu hayo
 
Huna akili kabisa wewe hivi huoni kwamba hiyo elfu 20 ya kitambulisho inatakiwa itolewe kwa wakati mmoja? kumbuka mtaji wake ni nusu ya kodi anayolipa.

Hiyo elfu 5 anayopata kwa siku nzima unadhani anaenda kuiweka kama ilivyo? Anategemea pesa hiyohiyo atumie kununua chakula cha siku nzima, anunue sare za shule za watoto, bado matibabu, hajalipa pango, kwenye akiba itabaki hiyohiyo?

Kuna siku hatafanya kazi kwa sababu ya ugonjwa, mvua na ibada bado atapata 1,500,000 kwa mwaka?
Kuwa ccm kusiwatoe ubinadamu hiki kichaka cha kutetea wanyonge mlichojifichia kinawaka moto saiv mtatoka tu.
 
Mkuu hivi unajua kuwa anayechangia mapato ya nchi ni mtumiaji wa mwisho ambaye ni huyu mjasiriamali wa chini?

Hao tunaowaita walipa kodi wakubwa wanauza bidhaa zao wakiweka pamoja gharama ya kodi na faida atakayopata anayefidia hizi gharama ni mkulima na mjasiriamali.

Kiasi hawa watu wanaichangia nchi ni kikubwa tunapaswa kuwapongeza na kuwaunga mkono sio kuwaongezea mzigo tena.
 
Wenzetu huko mbele huona fahari kulipa kodi, sisi tunaona ni adhabu.
Chadema mtajenga nchi kwa fedha kutoka wapi? Kodi mmsema mnafuta, madini mnaweka rehani. Au misaada ya kuhimiza ushoga?


Mtoa hoja hakuwahi kusema kwamba CHADEMA watakuwa walihimiza ushoga, hayo ni maneno yako, na sijui imeyatoa wapi. Huenda labda unataka ni kuwa shoga, hayo hayanihusu....

Hii hesabu hapo juu ni ya kijinga na wala haijawahi kutokea.

Mwenye uzi kasema kwamba,huyu mama huwa hawezi kufanya hii kazi nyakati za mvua, lakini hata akiwa mgonjwa, akiuguza, akienda mazikoni, na mambo mengine ya kijamii.

Pia si kila siku anapata bidhaa anazouza,ama kupata faida ya kiwango kilichodaiwa, wakati mwingine pia atakosa wateja na bidhaa zinamuozea.

Sasa kupiga hesabu hizo za kukariri,tena kwa kila siku na kwa mwaka basi huo ndio upumbavu wa wafanyakazi wa serikali hii ya ccm, na watu wao wa TRA
 
Huna akili bali unafikiri kwa kutumia makamasi, je kulipa elfu 20000 kwa mwaka na kulipa 500 kila siku huku akisumbuliwa na migambo wa kata kipi bora?
 
Si kila siku anauza biashara hii, Kuna siku za mvua na katika 5,000 inabidi aweke akiba kidogo. Huyu alitakiwa kusaidiwa si kukamuliwa 20,000 kwa mwaka.
Yani 20,000 kwa mwaka unaina ni nyingi?
 
hivi mnajua kuwa ushuru na ada ya kitambulisho havina uhusiano ushuru unasaidia soko kujiendesha hela zavitambulisho zinasaidia kununua wabunge
 
MATAGA na TBC jana walianda kipindi cha MATAGA kusifia kitambulisho, mmoja wao akawa kabisa anasema KITAMBULISHO KIMEMUWEZESHA KUFUNGUA KIWANDA.

pathetic dictator
 
You must be crazy na mtu hopeless! Out of 5,000 anakula ngapi na familia for a day?
Wewe nawe ni lijinga! Hiyo 20,000 anatoa kila siku?
Ni kipi bora kutoa hiyo kwa mwaka au asitoe awe analipa 500 mpaka 1000 ya ushuru kila siku
 
Kama serikali Ina nia ya kuwasaidia hii kodi ya mjasiliamali ingeondolewa kwa wenye mitaji midogo. Fikiria ni lini mtu huyu ataweza kununua mabati na kuboresha mahaki anapolala.
Duh...
 
Acha uzandiki wewe mama
 
SWALI ILE 20,000 ILIKUWA INAENDA HAZINA KAMA MAPATO MENGINE YA HALMASHAURI???
 
Wenye kipato kidogo hupewa msaada na serikali ili waweze kuboredha maisha yao. Kosa la huyu mama ni kuwatafutia wanawake rizik kidogo lakini akiamua kukaa nyumbani hatadaiwa 20,000.
Chadema wengi ni mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…