Kitambulisho cha Mjasiriamali kilivyoleta mateso katika jamii

Fikiria huyu mama ili atembeze beseni lake la ndizi na machungwa inabidi anunue kitambulisho cha mjasiliamalu 20,000.
Hivi kumbe hivi “vitambulisho vya wajasiliamali” ni kwa wote hata watembeza mchicha na wachoma maandazi vibarazani??

I thought ni kwa Machinga tu na wale wote wanaoingiza biashara zao kwenye masoko yanayotambuliwa na Halmashauri/Manispaa
 
SWALI ILE 20,000 ILIKUWA INAENDA HAZINA KAMA MAPATO MENGINE YA HALMASHAURI???
Vitambulisho vilitoka Ikulu moja kwa moja na mzee alikuwa anahesabu tu vingapi vimekuwa printed ili idadi iwe equivalent na mpunga unaorudi Ikulu😊
 

Kuna mama muuza matunda alidakwa kijiweni kwetu na wazee wa vitambulisho alikua anajifanya kuipenda ccm sana sasa siku ile analia lia hana hela watu tuna mwambia hapa kazi tu toa hela mama!Toka pale akipita kijiwe hataki kusikia ccm!!!
 
Hicho chama kilishakufa kilichobaki ni kikundi cha waharifu
 
Vitambulisho vilitoka Ikulu moja kwa moja na mzee alikuwa anahesabu tu vingapi vimekuwa printed ili idadi iwe equivalent na mpunga unaorudi Ikulu😊
Wanajua ndio maana hawaji kujibu tuwachane. watuambie ukurasa gani wa ripoti ya CAG umezungumzia hivyo vitambulisho??
 


Hao hao wanachangia harusi na vipaimara pesa nyingi tu.
 
Sasa fahari ya kulipa kodi ya kazi gani na mnasema madini yanaleta jangusho zla kutosha?

Watalii si wameongezeka maana yake pato pia limeongezeka.?

Wakati mwingine tuwaache hawa masikini waishi bila masononeko kwa vipato vyao vya angalau.

Mnashulumu watu kwa kutumia neno kodi pasipo hata kuangalia mazingira yao ya kufanyia kazi.

Kwa taarifa yenu, hakuna mtu asiyependa kulipa kodi. Ila unalipa kodi kwa misingi ipi?

Kuna kodi nyingine hazina kichwa wala masikio
 
 
Nikifa leo nitamuacha na dhiki Kama nitaanza kumlipia. Lakini ni halali kwake kulipa hiyo pesa ilhali mtaji wake ni mdogo na ana tafuta unga wa watoto.
Dhiki kivipi sasa, sindio msaada wa manufaa? Au unaona fahari kuchangia harusi na send off ambazo hazidumu
 
Unaongea nn ww pumba au 5000

towa pesa ya watoto wakienda shule

Towa pesa ya mboga

Mtoto hajaumwa ujafanya mahitaji yako

Bado hujatoa pesa ya dharura Kama klinik au wapi hajatoa pesa za kutatua shida zake hivi unanzani awalaze watoto njaa aeke pesa asubiri mwaka mzima unaongea nn ww hebu amka uko
 

Hivi ukiwa chadema unakuwa nyumbu automatically? Hivi kweli mtaendeshaji nchi kama watu hawatolipa kodi? Kweli mnataka muanze kuwatoza miatano kwa siku au hawatalipa chochote kabisa?

Hivi kulipa 20000 kwa mwaka ni mbaya kuliko kulipa 500 kwa siku?

Hivi kweli mnaaakili timamu?
 
Si kila siku anauza biashara hii, Kuna siku za mvua na katika 5,000 inabidi aweke akiba kidogo. Huyu alitakiwa kusaidiwa si kukamuliwa 20,000 kwa mwaka.

Kwa hiyo ni bora walipe 500 kila siku? Haahah au waanzr kukimbizwa na mgambo?
 
Jumla zimekusanywa ngapi??nani kazifanyia auditing??mbona havina picha??maswali ni mengi jibu kwanza.bunge lilipitisha???
 

Twambie kuna shida gani watu kulipa elfu ishirini mwaka mzima na wakafanya biashara sehemu yeyote bila bugudha ......?
 

Kwa hiyo wewe unaona ni bora alipe 5000kwa siku? Hahahaha tena chini ya uangalizi wa mgambo?
 
hesabu zako umekosea kuzipiga, au hukumuelewa vizuri,hata wewe mwenyewe ukupiga hesabu ya matumizi na mapato yako unaweza kulia kwamba kwa nini wewe ni maskini lakini ukweli ni kwamba kwanza ujue huyu mama si kila siku anafanya biashara, pili kuna siku anapata hasara,tatu wakati wa kilimo hana muda wa kufanya biashara kabisa. pia ukumbuke kwa sheria yetu ya kodi mtu mwenye mzunguko wa chini ya 4,000,000/= kwa mwaka halipi kodi
 
Fanya kwanza biashara ndo uandike,unasahau siku nyingine hayaishi,yanakaa zaidi ya siku moja na mahitaji yako palepale,faida 2000 hauli,jaununui mahitaji yoyote.nyie ndo mnaluma mtandaoni mnaambiana ooh kilimo hiki rahisi, biashara hii rahisi.ingia field jombaa!
 
Kwanza,nyumbu wewe na ukoo wako lazima tuheshimiane hata Kama hatujuani,jadili hoja.
Hiyo biashara mtu wangu wa karibu anaifanya,naandika kwa ushahidi sio kwa kubuni au kumuangalia mtu,Nina in and out zote za hiyo biashara.sema au uliza ambacjo hukijui nikujuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…