BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Nielekeze japo kimoja tu kwa DSM,zile 30000 wanazotozwa za Nini,vile vifaa vya kujifungulia he,pamba,kiwembe Cha kukatia kitovu,Moira wanavyoambiwa waende navyo vya niniVituo vyote vya serikalii, kiwango wanachochangia hakilingani na garama za hospitali binafsi. Chanzo zote ni buree, huduma za wajawazito ni buree, hata kama akiambiwa achangie bado nikiwango kidogoo saana ukiilinganisha na hospitali za watu binafsi
hiyo hesabu ni ya gharama za chini kabisa za uendeshaji. Muuza maandazi wa kila siku anapika maandazi zaidi ya 100 kwa siku sio hamsini, mimi nimelelewa na muuza maandazi najua hizi kazi first hand. Waacheni hawa wamama wanajua wapi wametoka.Fanya kwanza biashara ndo uandike,unasahau siku nyingine hayaishi,yanakaa zaidi ya siku moja na mahitaji yako palepale,faida 2000 hauli,jaununui mahitaji yoyote.nyie ndo mnaluma mtandaoni mnaambiana ooh kilimo hiki rahisi, biashara hii rahisi.ingia field jombaa!
Wapi huko kwenye elimu bure na kujifungua bure??Kumbukeni mjasiriamali naye anafamilia, inayosomeshwa bure na kujifungua bure kwenye hospitali na shule za serlikali, hivyo na yeye kwa sehemu yake ndogo ya kipato anawajibu wa kuchangia maendeleo ya taifa. Kwani mjasilia mali huyohuyo, anahitaji barabara ya lami, umeme wa uhakika, maji, ulinzi wa vyombo vya dola, matibabu hospitalini, n.k, n.k.
Hivyo anawajibu wa kuchangia sehemu ndogo ya pato lake kama mtanzania. Kwahiyo kuja kubwabwaja hapa eti kitambulisho cha mjasiliamali ni mateso, huu ni uelewa wako mdogoo saanaa. Na kwa hali hiiii husitahili hata kuwa kiongozi wa familia. Maendeleo ya taifa lolote, yanajengwa na wanataifa lile kwa kuzingatia uwezo wao wa kipato chao.
Mama Ntilie mwenye watumishi 2 yeye na watumishi wake kila mmoja awe na kitambulisho.Hapa kikundi kimeahidiwa mkopo sharti mojawapo kila mtu awe na hicho kitambulisho.
Hv vitambulisho vimemkomboa machinga kutoka wapi?kumbe hii nchi bado ukombozi unaendelea? Au ndo ile slogani ya unatengeneza tatizo,unalitatua unaonekana shujaa?Chadema ni wapuuzi Sana,hoja zao za kijinga jinga.
Hebu pita kwa wamachinga useme hili wakupasue ukauguzwe na nyumbu wenzio wa ufipa.
Hujui hata ukombozi wa hivi vitambulisho kwa wamachinga.
Tuachie sisi wamachinga ndo tunajua tumekombolewawapi,wewe kaa nyuma ya keyboard endelea kusubiri nchi ya asali na maziwa toka kwa CDM.Hv vitambulisho vimemkomboa machinga kutoka wapi?kumbe hii nchi bado ukombozi unaendelea? Au ndo ile slogani ya unatengeneza tatizo,unalitatua unaonekana shujaa?
Kwanza,nyumbu wewe na ukoo wako lazima tuheshimiane hata Kama hatujuani,jadili hoja.
Hiyo biashara mtu wangu wa karibu anaifanya,naandika kwa ushahidi sio kwa kubuni au kumuangalia mtu,Nina in and out zote za hiyo biashara.sema au uliza ambacjo hukijui nikujuze
Tanzania kotee shule ya msngi hadi secondari elimu ni bule kabisaaWapi huko kwenye elimu bure na kujifungua bure??
Bure ingekuwepo kweli, kusingekuwa na manung'uniko.
Everyday is Saturday.............................. 😎
Serikali hii inaweza kumsamehe mfanyabiashara kama Bakhresa kodi ya 1 billion kuliko mjasiriamali kusamehewa sh.200 ya ushuru wa soko,ama kuwasamehe Barrick/ACCASIA US$ 190 Billions kuliko kumsamehe mfanyakazi wa umma PAYE ya shilingi 50,000 kwa mwezi.Haya ni maajabu unayoweza kuyakuta Tanzania pekee hapa duniani.Kama serikali Ina nia ya kuwasaidia hii kodi ya mjasiliamali ingeondolewa kwa wenye mitaji midogo. Fikiria ni lini mtu huyu ataweza kununua mabati na kuboresha mahaki anapolala.
TATIZO HUYO dogo yupo Kwa shemiji Yake ,,Anamika Kwa jitihada ya kiuno cha Dada Ake hajui wala bei ya dagaa gengeni, ndo maana ana comment utopoloYou must be crazy na mtu hopeless! Out of 5,000 anakula ngapi na familia for a day?
Ina maana hali? shame on youWewe mama huna point hapa. Kama kwa siku anaingiza 5000, kwa mwaka anaingiza 1,590,000/=. Kuna ubaya gani akichangia 20,000 kwa mwaka kwa ajili ya ulinzi wa nchi, huduma za jamii na miundombinu kwa manufaa yetu wenyewe?
Wenzetu huko mbele huona fahari kulipa kodi, sisi tunaona ni adhabu.
Chadema mtajenga nchi kwa fedha kutoka wapi? Kodi mmsema mnafuta, madini mnaweka rehani. Au misaada ya kuhimiza ushoga?
Tena bado hata haitoshi, kuna kuharibika, kuumwa, matumizi n.kUnamlaumu sky ushawahi fanya biashara wewe,unajua mama anaepika maandazi anapata faida isiyozidi 1000tu kwa siku,Tena hapo maandazi yaishe,huyu atapata lini 20000 ya kulipia kitambulisho? Elfu moja inatosha kwa mahitaji ya siku ya mtanzania? Au unadhani wanapata hela nyingi Sana?
Kuchangia chochote kwenye nchi yako ni fahari kubwa. 20K kwa mwaka ni Sawa na 1800 approx kwa mwezi, na 56Tsh kwa siku. Ni program inayofaa na nyepesi zaidi kwa mjasiriamali kuliko ile inayotozwa holela masokoni. Ila hapa uliandika, ili ionekane Serikali ya JPM inawanyanyasa wajasiriamali, sio Sawa hata kidogo.
tatizo hii ni biashara ya mtu binafsiKuchangia chochote kwenye nchi yako ni fahari kubwa. 20K kwa mwaka ni Sawa na 1800 approx kwa mwezi, na 56Tsh kwa siku. Ni program inayofaa na nyepesi zaidi kwa mjasiriamali kuliko ile inayotozwa holela masokoni. Ila hapa uliandika, ili ionekane Serikali ya JPM inawanyanyasa wajasiriamali, sio Sawa hata kidogo.
Mnaipenda CCM kwa sababu tayari mnanufaika kwa upambe huko Lumumba kwa sababu ile buku saba unayopewa wewe hulipii hiyo elfu 20 shaini kabisa wewe sisi ni masking kweli usituletee siasa za kishetani kujinuifaisha wewe tuWewe mama huna point hapa. Kama kwa siku anaingiza 5000, kwa mwaka anaingiza 1,590,000/=. Kuna ubaya gani akichangia 20,000 kwa mwaka kwa ajili ya ulinzi wa nchi, huduma za jamii na miundombinu kwa manufaa yetu wenyewe?
Wenzetu huko mbele huona fahari kulipa kodi, sisi tunaona ni adhabu.
Chadema mtajenga nchi kwa fedha kutoka wapi? Kodi mmsema mnafuta, madini mnaweka rehani. Au misaada ya kuhimiza ushoga?
kwanza umekosea hicho kitambulisho ni kwaajili ya utambulizi tu swala la kulipia ulinzi na ela ya taka viko tofauti kabisa ndo mwendo huo tutafika tu tuwe wapole jamani dawa iingie vizuriWewe mama huna point hapa. Kama kwa siku anaingiza 5000, kwa mwaka anaingiza 1,590,000/=. Kuna ubaya gani akichangia 20,000 kwa mwaka kwa ajili ya ulinzi wa nchi, huduma za jamii na miundombinu kwa manufaa yetu wenyewe?
Wenzetu huko mbele huona fahari kulipa kodi, sisi tunaona ni adhabu.
Chadema mtajenga nchi kwa fedha kutoka wapi? Kodi mmsema mnafuta, madini mnaweka rehani. Au misaada ya kuhimiza ushoga?