Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

Kuna umuhimu gani kutumia jiko la ndani wakati nje kuna upepo mzuri tu, ya nini kujitia matatizo?
 
Kwa hiyo mkamnyenyekea Mzungu? Kwa nini hamkutaka afuate utaratibu wenu mliojiwekea sio utumwa huo kweli?
Sasa angeenda wapi bwege wewe,
Sisi wote tulikua tuna vyumba vyetu.angeenda kula chumbani kwa baba na mama?
Chakula kilikua kinawekwa mezani hapo kila mtu anakuja mda anaotaka anachukua chake anaondoka.
Ni mgeni akija ndo tun¹akaa wote tumpe company.
Hakukua na biashara ya kumsujudia mtu, kwetu walikua watu wa kawaida sana
 
Kwa hiyo mlikuwa mnalia vyumbani? ​
 
Mkuu salam,

Ame uliza swali tu lakini, Ume kuwa mkali kidogo!
Sio ukali.

Nimeuliza swali tu.

Watanzania wengi hawajui falsafa ya uhuru wa mtu binafsi.

Hawajui falsafa ya "a man's house is his castle".

Maana yake, mtu ana uhuru wa kuwa na dining room halafu asiitumie kama dining room, akaitumia kama sehemu ya kuwekea viatu. Kwa sababu yeye anapenda viatu kuliko kuwa na dining room.

Au akaweka joka lake la kufuga hapo, iwe sehemu ya kufugia joka lake badala ya dining room.

Chakula akala pengine.

Akifanya hivyo nyumbani kwake wewe tatizo lako nini?

Mbona mnakaririshana maisha kwenye mambo ambayo hayahitaji kukariri?
 
sawa mkuu, ila itikia hata Salam Sasa!
 
sawa mkuu, ila itikia hata Salam Sasa!
Salam nayo kuitika si lazima.

Hizo wakati mwingine ni mbwembwe tu.

Ushasikia hotuba za wanasiasa wa Tanzania? Unaweza kusikia mtu anapoteza dakika 30 kwenye salamu tu.

Unapata picha ya jamii isiyothamini muda na kwenda straight to the point, inayopenda formalities sana.

Ndiyo haya maisha ya kukariri lazima watu wale dining room.

Ujinga mtupu.
 
om Shanti om
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…