Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

Sio hilo tu, kuna familia ambazo zina vyombo vizuri sana kwaajili ya Wageni, yaani wao hawavitumii mpaka aje mgeni au wageni ndio wavitoe...hasa vyombo vya Udongo

Yaani Ushamba ushamba tu
 
Unachosema ni kweli, japo kama unataka kuwafundisha watoto maadili ya mezani ni lazima mkae pamoja wakati wa mlo.
Huo sio utamaduni ni Umasikini

Mambo ya kuwasha jiko la kuni nje na kupigwa na moshi ni Umasikini, sasahivi tuna nishati mbadala

Hali kadhalika kukaa chini kunatokana na kukosa Samani (Furniture)
 
Sio hilo tu, kuna familia ambazo zina vyombo vizuri sana kwaajili ya Wageni, yaani wao hawavitumii mpaka aje mgeni au wageni ndio wavitoe...hasa vyombo vya Udongo

Yaani Ushamba ushamba tu
Yaani Ushamba ushamba tu

Sikupingi
 
Mradi tumeshiba si dinning ya Nini!?
 
Tena tulikuwa tunafundishana hata jinsi ya kutafuna chakula,siku hizi mtu anatafuta kama vile kelele za chekechea!
 
I am not here to seek your approval.

Especially on a proof that would ultimately expose my identity in a way I do not want.

Nimejibu swali.

Una haki na uhuru kuona porojo.

Sijali.
Kwa hili nakuunga mkono, una haki maana infringement of privacy is a crime offense.
 
Ikiwa tumeiga utamaduni wao hadi wa kuabudu nini kitatushinda kuiga?
 
Una hoja mkuu

Na inatakiwa hasa sisi akina baba angalau mlo wa usiku tule na watoto wetu ni nafasi ya kuwafundisha table manners na hata kupiga nao stori mbili tatu za maisha, masomo na ushauri
​
Huu ni utamaduni wa wazungu. Mbona jamii nyingine kama waarabu, wahindi wengi bado wanatumia utamaduni wao wa kula kwenye majamvi, wamekaa chini? Hata sisi tunaweza kuendelea na utamaduni wetu wa kula.
 
Huu ni utamaduni wa wazungu. Mbona jamii nyingine kama waarabu, wahindi wengi bado wanatumia utamaduni wao wa kula kwenye majamvi, wamekaa chini? Hata sisi tunaweza kuendelea na utamaduni wetu wa kula.
Swali ni ulinunua dining table ya nini kama kuna majamvi na mikeka?​
 
Swali ni ulinunua dining table ya nini kama kuna majamvi na mikeka?​
Kama kuna walionunua na hawatumii basi ni ulimbukeni, kufuata mkumbo. Au wengine wanaweza kusema wanatumia pale wanapokuwa na wageni wenye utamaduni tofauti. BTW unadhani wazungu muda wote hula wakiwa wamekaa rasmi mezani?
 
So go to my ignore list troll.

From here on I will not see any of your crap.
Huo Ni umama. I'll not ignore you simply because I'm different in opinions against you. Hiyo tabia ni ya wamama ambao wanatumia hisia kufikri.
 
Kabisa mkuu kuna watu ni wachoyo sana.
 
Hii ipo sana kwa sasa, ndugu waliokulia kwenye familia yenye upendo ni kawaida sana kuweza kusaidiana ila waliokulia kwenye familia za kila mtu chake hata kuuana ni jambo rahisi kwao na wengi huwa wanapigana vita sana.
 
Nawashukuru sana wazazi wangu kwa kuhakikisha muda wa kula tunakuwa wote mezani. Muda wa kula huwezi kuta kila mtu kakaa kivyake. Kuhusu jiko la nje ni kweli tumekuwa tukitumia kwa sababu ya matumizi ya mkaa na kuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…