Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

Cyber ikabonyeze button 😄 we uko sawa lakini Cyber ni computer code iwe na vidole kweli hi babkubwa.
 
Au siyo,rahisi tu hivyo kama kuzima taa!!?
 
Israel na Iran hawawezi kupigana, ushawahi kuona wapi kwenye mapigano mtu anakupiga kwanza afu anakuacha eti mpaka wewe urudishe, wanakua kama watoto bana!!!
Nilipokua mdogo mtaani kulikua na kamchezo cha watoto kurusha mawe juu ya bati,mimi ilikua nikisikia jiwe ya bati letu basi nitafanya uchunguzi wa kitoto hadi nijue mtoto gani alitupia jiwe kwenye bati letu na nikimjua kama ni juma ndie aliepiga bati letu,na mimi naenda kulipiga bati lao,sasa israel anajua iran ndie alierusha kombora tel aviv,iran ndie anawafund hamas na hezbollah kwanini aendi kuipiga iran ana kazi ya kuipiga syria ishajichokea,lebanon na gaza 😂
 
Hilo tukio limethibitisha kuwa Jeshi la Ulinzi la Iran ni Dhaifu sana
 
Reverse computer engineering
 




Labda akawabandike wanajeshi wake wasenge , papuchi . Hizbullah anamshinda hapo kabaki kulipua masoko .



Israel's First Openly Transgender Soldier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…