Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 8,428 Reaction score 4,022 Oct 14, 2024 #41 Mtumishi wa Bwana89 said: Kawachokoze Click to expand... Akawachokoze mashoga?
Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 8,428 Reaction score 4,022 Oct 14, 2024 #42 Azarel said: Hilo tukio limethibitisha kuwa Jeshi la Ulinzi la Iran ni Dhaifu sana Click to expand... Jeshi la Israel la wanajeshi waliobandikwa papuchi ndio jeshi au vipi?
Azarel said: Hilo tukio limethibitisha kuwa Jeshi la Ulinzi la Iran ni Dhaifu sana Click to expand... Jeshi la Israel la wanajeshi waliobandikwa papuchi ndio jeshi au vipi?
M Matemba3814 Member Joined Nov 9, 2023 Posts 87 Reaction score 138 Oct 14, 2024 #43 Sasa Israel apige Iran maana propaganda ni nyingi sana,mara ooh arushe hata jiwe Israel alone na kweli akapiga,tumedanganywa sana hii dunia kuhusu uwezo wa hiyo nchi
Sasa Israel apige Iran maana propaganda ni nyingi sana,mara ooh arushe hata jiwe Israel alone na kweli akapiga,tumedanganywa sana hii dunia kuhusu uwezo wa hiyo nchi
D drhenry Member Joined Sep 12, 2024 Posts 65 Reaction score 91 Oct 14, 2024 #44 Mbona tayari ameshafanya hivyo, wanaficha lakini watasema tu, mlipuko uliosikika j1 kwenye mitambo ya Iran watu walijua ni majaribio yanafanyika
Mbona tayari ameshafanya hivyo, wanaficha lakini watasema tu, mlipuko uliosikika j1 kwenye mitambo ya Iran watu walijua ni majaribio yanafanyika