Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

Sasa Israel apige Iran maana propaganda ni nyingi sana,mara ooh arushe hata jiwe Israel alone na kweli akapiga,tumedanganywa sana hii dunia kuhusu uwezo wa hiyo nchi
 
Mbona tayari ameshafanya hivyo, wanaficha lakini watasema tu, mlipuko uliosikika j1 kwenye mitambo ya Iran watu walijua ni majaribio yanafanyika
 
Back
Top Bottom