Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Dini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi.
Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za kutubu. Hata hivyo tunaona kutubu kwenyewe wanavunja sabato. Hii inaonyesha kkuwa Zayuni hutumia slogan za kidini ili kudanganya ulimwengu ila haheshimu hata misingi ya dini.
Shambulizi la Zayuni limefeli kwa kiasi kikubwa, wamebaki maneno maneno maneno. Iran kwa ustadi mkubwa sana imepangua shambulizi lao, sasa hivi wamebaki wanawayawaya!