Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Ukimaliza msikilize ImaamMsikilize myahudi mwenyewe utajua kua Israel ni taifa Kidini au La Kipagan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaliza msikilize ImaamMsikilize myahudi mwenyewe utajua kua Israel ni taifa Kidini au La Kipagan.
Hivi kahawa inalewesha? Maana Maustaadhi mkishakunywa kahawa huwa mnapayuka tu! Kwamba wewe unaijua vema Israel na kumjua Netanyau kuliko waisrael wenyewe!? Aya, wasalimie Kyabakali.70% ya waisrael hawaamini uwepo hata wa huyo Mungu. Muasisi wa hilo taifa David Ben Gulion alikuwa atheist.
Mashabiki wengi wa kikristo hawawajui wanaowashabikia. Hata Benjamin Netanyahu baba yake hilo jina Netanyahu alijipa walipohamia hapo middle east. Jina lake ni Benzion Mileikowsky
Mambo ni mengi kuliko muda.
Uvivu wa kusoma dini.Dini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi.
Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za kutubu. Hata hivyo tunaona kutubu kwenyewe wanavunja sabato. Hii inaonyesha kkuwa Zayuni hutumia slogan za kidini ili kudanganya ulimwengu ila haheshimu hata misingi ya dini.
Shambulizi la Zayuni limefeli kwa kiasi kikubwa, wamebaki maneno maneno maneno. Iran kwa ustadi mkubwa sana imepangua shambulizi lao, sasa hivi wamebaki wanawayawaya!
Wewe acha uzombi. Israel is a Democracy; Serikali yake haina dini. Ila inaruhusu watu wake waamini kile wanachoamini. Kuna Judaism, kuna Islam (wanapata 20%) kuna christian ( 2%)kuna Bahai kuna AtheistsDini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi.
Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za kutubu. Hata hivyo tunaona kutubu kwenyewe wanavunja sabato. Hii inaonyesha kkuwa Zayuni hutumia slogan za kidini ili kudanganya ulimwengu ila haheshimu hata misingi ya dini.
Shambulizi la Zayuni limefeli kwa kiasi kikubwa, wamebaki maneno maneno maneno. Iran kwa ustadi mkubwa sana imepangua shambulizi lao, sasa hivi wamebaki wanawayawaya!
Nikuulize,kwenye sabato hawakupigana?Dini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi.
Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za kutubu. Hata hivyo tunaona kutubu kwenyewe wanavunja sabato. Hii inaonyesha kkuwa Zayuni hutumia slogan za kidini ili kudanganya ulimwengu ila haheshimu hata misingi ya dini.
Shambulizi la Zayuni limefeli kwa kiasi kikubwa, wamebaki maneno maneno maneno. Iran kwa ustadi mkubwa sana imepangua shambulizi lao, sasa hivi wamebaki wanawayawaya!
Illuminati na Freemason ni watu gani?Ni Taifa la atheist na illuminati,freemason, wakristo tena wa huku kiafrika ndio wanawapa hio title ya taifa teule. tizama mafreemason wakubwa ni wao na ndio wanaandaa ujio wa anti christ kwa hivi vita siku mnyama akija unategemea wakristo wapinge tayari wanawaamini wayahudi? Dhiki kuu inakuja ikiandaliwa njia na US na hao mazayuni, wapo wayahud wema na walio tayari kuishi na wenzao hapo palestine tatizo ni mizayuni
Hio ni mada kubwa ila itoshe kusema hao Israel wanamsubiri masihi hawaamini aliyekuja kua ndie hivyo atakae kuja wao ndio wanamuandalia makao hivyo hilo eneo hawataki achia hata damu imwagike vipi, sasa basi Mungu kashawapa mtihani kwakua Masihi aliyekuja walimkataa na walitaka kumuua(islam) na walimuua according to Christians, huyo wanamuandalia makazi ni Antichrist ambaye ni mtihani mwingine kwa ulimwengu Kabla YEsu sahihi hajarudi, hivyo wakristo wengi na wayahudi watamwamini kwakua atakua na miujiza mingi mno hivyo yeye atakua ni kuchapa tu mihuri wafuasi hao ambao wote waliopitia mihuri hio ni motoni japo duniani wao watastarehe kuliko mfano, bwana kaja kuwachukua ni mtihani amani kila Ijumaa mwislamu anatakiwa asome au kusikiliza surat Al kahf(18) kumuomba Mungu atuepushe. Kwa kifupi hao freemason ndio wako kwenye ajenda hio hapo mashariki ya kati.Illuminati na Freemason ni watu gani?
Unawajuaje Illuminati na Freemason?
Unayo mifano ya watu Illuminati na Freemason??