Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wavaa kobaz akili zime amia matterCorn tuDini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi.
Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za kutubu. Hata hivyo tunaona kutubu kwenyewe wanavunja sabato. Hii inaonyesha kkuwa Zayuni hutumia slogan za kidini ili kudanganya ulimwengu ila haheshimu hata misingi ya dini.
Shambulizi la Zayuni limefeli kwa kiasi kikubwa, wamebaki maneno maneno maneno. Iran kwa ustadi mkubwa sana imepangua shambulizi lao, sasa hivi wamebaki wanawayawaya!
Sawa tufanye Zayuni hajafanikiwa kushambulia chochote,kwanini magaidi hayakuweza kumzuia aingie kwenye ardhi yao,mpaka akaingia na kutoka bila kumkamata huoni kuwa mmevuliwa nguo mchana kweupe,yaani nyinyi mlirusha makombora mkiwa kwenu yeye amekuja mpaka chumbani kwako amefanya anachofanya na ameondoka muda anaotaka hiyo ni aibu ya karne.
Hivi kama wewe ungekuwa mtoto au mdogo wa wale marehemu wa Iran waliouawa na hilo shambulio, ungebakia na hayo maneno kuwa shambulio limefeli? Au kwa sababu hukuguswa na hivyo vifo ndiyo maana ni rahisi kutoa kauli yoyote ile?Dini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi.
Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za kutubu. Hata hivyo tunaona kutubu kwenyewe wanavunja sabato. Hii inaonyesha kkuwa Zayuni hutumia slogan za kidini ili kudanganya ulimwengu ila haheshimu hata misingi ya dini.
Shambulizi la Zayuni limefeli kwa kiasi kikubwa, wamebaki maneno maneno maneno. Iran kwa ustadi mkubwa sana imepangua shambulizi lao, sasa hivi wamebaki wanawayawaya!
Kwenye Torati yao ni rukhusa kupigana vita na yule anaetaka kukuuwa siku ya Sabato!Dini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi.
Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za kutubu. Hata hivyo tunaona kutubu kwenyewe wanavunja sabato. Hii inaonyesha kkuwa Zayuni hutumia slogan za kidini ili kudanganya ulimwengu ila haheshimu hata misingi ya dini.
Shambulizi la Zayuni limefeli kwa kiasi kikubwa, wamebaki maneno maneno maneno. Iran kwa ustadi mkubwa sana imepangua shambulizi lao, sasa hivi wamebaki wanawayawaya!
Hivi kama wewe ungekuwa mtoto au mdogo wa wale marehemu wa Iran waliouawa na hilo shambulio, ungebakia na hayo maneno kuwa shambulio limefeli? Au kwa sababu hukuguswa na hivyo vifo ndiyo maana ni rahisi kutoa kauli yoyote ile?
Maadam shambulio hilo limeondoa ubai wa binadamu, ni shambulio baya.
Unajuaje labda alikuwa anaficha utambulisho wake halisi alipokuwa nje ya Israeli kwa sababu anazozijua yeye?70% ya waisrael hawaamini uwepo hata wa huyo Mungu. Muasisi wa hilo taifa David Ben Gulion alikuwa atheist.
Mashabiki wengi wa kikristo hawawajui wanaowashabikia. Hata Benjamin Netanyahu baba yake hilo jina Netanyahu alijipa walipohamia hapo middle east. Jina lake ni Benzion Mileikowsky
Mambo ni mengi kuliko muda.
Kwenye jeshi la Israel kuna Waislamu na Wakristo
Hata kama, wapoWa kumulika kwa tochi