Kitendo cha Israel kushambulia Iran siku ya sabato hivi Israel ya sasa inafuata misingi ya dini ya kiyahudi?

Israel sio taifa la kidini
Ni Taifa la atheist na illuminati,freemason, wakristo tena wa huku kiafrika ndio wanawapa hio title ya taifa teule. tizama mafreemason wakubwa ni wao na ndio wanaandaa ujio wa anti christ kwa hivi vita siku mnyama akija unategemea wakristo wapinge tayari wanawaamini wayahudi? Dhiki kuu inakuja ikiandaliwa njia na US na hao mazayuni, wapo wayahud wema na walio tayari kuishi na wenzao hapo palestine tatizo ni mizayuni
 
Wajinga kama wewe ndiyo mnaaminishwa ujinga kuwa kuna siku ya sabato na israel takatifu lakini waisrael wao hawana huo ujinga
 
Dini ya kiyahidi ndio dini gani na alianzisha nani? Yaani mnaaza kuwapachika watu idea za kijinga kama zenu wakati wao hawajawahi waambia wana hiyo dini.
 
Tena wanaloo mbaya sana sio sabato tu lkn wsliviz
 
Unaelewa English lakini? Tafuta mtu akutafsilie huyo myahudu anachosema.
Sasa una kuja kuniuliza swali kama ilo we msoma madrasa ume tumia nini kufikiria ? Isije ikawa ni kile nilicho toka kumwambia mwenzio hapo juu
 
Ukifuatilia utagundua hili taifa
Ukifuatilia kwa makini utagundua hili taifa lilianzishwa kimikakati.
 
Sio sabato wamefanya hatari zaid wamevizia Iran ajafunga anga lake mana juu kuna ndege za kiraia kibao Iran ni njia kubwa ya ndege za abilia kwaiyo wakaenda Iraq kimya kimya ndio wakarusha viuma vyao ili kutatizo air defence za Iran asingetumia akili zaid ilikuwa ashushe ndege za kiraia tumeona aya syria ata apo Iran mwanzo waliposhambulia kambi za Jesh la marekani. Kwaiyo walipanga kusudi na Israel na marekani baada ili tukio kuna kitu wslipanga kuiwajibisha Iran kwakuua raia ktk ndege za kibiashara afuu mtu anawasifia Israel kwakua akuna ndege ilishushwa ya kijesh awajui Iran ingetafuta ndege adui kungetokea ajali mbaya sana afu washenzi wale baada kujua Iran kashafunga anga wao wakatoka mbio na vindege vyao yani ngao yao ilikuwa ndege za kiraia. Marekani kashaishiwa kijesh anatapatapa mbele y dunia.
 
Kule syria mnakumbuka ndege za jesh la Israel zilijificha juuu ya ndege ya kirusi mwisho air defence zilipofanyakazi zikajikuta zimeishusha ndege ya urusi wakafa wajeda15 wajesh rafiki na syria ile ya kIsrael ilikimbia inamana Iran akifunga anga marekani wala Israel awatoweza kupeleka ndegezao zitashushwa hiii vita maji ya shingo kwa USA tujipe muda tutaona mengi akili zetu ziache mahaba tutajifunza kitu.
 
Israel walipata somo kipindi cha "Yom Kippur War" na waliahidi hawatarudia kufanya makosa hayo!
 
Umeshiba makande huko unakuja kuhara hapa, wakati Irani wenyewe wamesema shambulio lilikuwa baya sana
 
Israel walipata somo kipindi cha "Yom Kippur War" na waliahidi hawatarudia kufanya makosa hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…