Kitendo cha Israel kushambulia Iran siku ya sabato hivi Israel ya sasa inafuata misingi ya dini ya kiyahudi?

Hivi kahawa inalewesha? Maana Maustaadhi mkishakunywa kahawa huwa mnapayuka tu! Kwamba wewe unaijua vema Israel na kumjua Netanyau kuliko waisrael wenyewe!? Aya, wasalimie Kyabakali.
 
Uvivu wa kusoma dini.
 
Wewe acha uzombi. Israel is a Democracy; Serikali yake haina dini. Ila inaruhusu watu wake waamini kile wanachoamini. Kuna Judaism, kuna Islam (wanapata 20%) kuna christian ( 2%)kuna Bahai kuna Atheists
Hivyo, usidanganywe kuwa Serikali ya Israel ina dini fulani
 
Nikuulize,kwenye sabato hawakupigana?

yaani Enzi za biblia,Sabato ikifika walikuwa hawapigani vita?
 
Illuminati na Freemason ni watu gani?
Unawajuaje Illuminati na Freemason?
Unayo mifano ya watu Illuminati na Freemason??
 
Kwa iyo kama umevamiwa usiku na majambazi siku ya Sabato, wewe na mke wako na watoto, mtulie tuu majambazi yafanye yao yaondoke? 😁
 
Illuminati na Freemason ni watu gani?
Unawajuaje Illuminati na Freemason?
Unayo mifano ya watu Illuminati na Freemason??
Hio ni mada kubwa ila itoshe kusema hao Israel wanamsubiri masihi hawaamini aliyekuja kua ndie hivyo atakae kuja wao ndio wanamuandalia makao hivyo hilo eneo hawataki achia hata damu imwagike vipi, sasa basi Mungu kashawapa mtihani kwakua Masihi aliyekuja walimkataa na walitaka kumuua(islam) na walimuua according to Christians, huyo wanamuandalia makazi ni Antichrist ambaye ni mtihani mwingine kwa ulimwengu Kabla YEsu sahihi hajarudi, hivyo wakristo wengi na wayahudi watamwamini kwakua atakua na miujiza mingi mno hivyo yeye atakua ni kuchapa tu mihuri wafuasi hao ambao wote waliopitia mihuri hio ni motoni japo duniani wao watastarehe kuliko mfano, bwana kaja kuwachukua ni mtihani amani kila Ijumaa mwislamu anatakiwa asome au kusikiliza surat Al kahf(18) kumuomba Mungu atuepushe. Kwa kifupi hao freemason ndio wako kwenye ajenda hio hapo mashariki ya kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…