Sheria haijavunjwa eeh? Una shida kichwani mwako mkuu. Inawezekanaje raia kutoka nchi ya Zanzibar (Samia Suluhu) aje kutawala nchi ya Tanganyika? Uliwahi kuona mtanganyika hata mmoja anatawala nchi ya Zanzibar?Sheria kama haijavunjwa huwa inaendelea kutumika. Watoto wa juzi ndio wanaweza wasimuelewe Jaji Hamisi Juma.
Ndio. Huwa wanatuwekea Makamu wa Rais bosheni kumbe Makamu wa Rais halisi yupo Zanzibar.Maana yake nini KWA awamu zote mbili
Kumbe kuna Makam wa kwanza na Makam wa piliNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.
Kama ni nje ya katiba, waandishi wanaweza kumtembelea kumuhoji afafanue au watakuwa wameingilia muhimili?Ndio. Huwa wanatuwekea Makamu wa Rais bosheni kumbe Makamu wa Rais halisi yupo Zanzibar.
Mayala tangu uanze kulamba asali kwenye vibahasha vya Press Umekuwa mtu wa ajabu sanathis is not fair, CJ kote huko ni ameteleza tuu ulimi!。
P
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.
View attachment 3260960
MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanzania anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.
Mkuu wewe unaona mambo yanafanyika deliberately halafu unataka kuomba ufafanuzi kwa CJ? Kusoma hujui hata picha hujui kusoma?ingekuwa vyema kama ungefanya cross interview na jaji mkuu ili atolee ufafanuzi wa hayo.
Muulize Samiaagain2025 ndiye anajua vizuri jambo hili mkuu.Kumbe kuna Makam wa kwanza na Makam wa pili View attachment 3261139
Huu muungano ni JANGA Kwa watanganyikaNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.
View attachment 3260960
MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanzania anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.
Kwanini akosee kila mara mkuu? Rais Samia must behave. Amepora rasilimali za Tanganyika amewapa wajomba zake waarabu. Naona sasa amefika mbali hadi anapora vyeo vya watanganyika anawapa wazanzibar kimyakimya. Hatutakubali. Nchi imefika hapakwa sababu ya kuongozwa na Rais kutoka nchi ya kigeni (Zanzibar). Nchi ingekuwa inatawaliwa na mtanganyika mwenye uchungu na nchi yake, isingefika hapa.Kwanza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Haina Makamu wawili wa Raisi kwa Sasa, kama ilivyokuwa miaka ile ya mwanzo wa Utawala wa Raisi Mwinyi.
Inaonekana Jaji Mkuu, kama mwanadamu, anajuchanganya mwenyewe au Bado katika kumbukumbu zake anao ule utaratibu wa enzi za Mwinyi.
Hata hivyo Jaji Mkuu sio point of reference mpaka tuamini au kutatanishwa na kauli yake haswa pale inapokuwa kinyume au ulimi kuteleza.
Kwani Katiba yetu inasemaje?,
View attachment 3261142
Hiyo ndio Katiba na ndio uhalisia.
Kauli ya Jaji Mkuu ya kuteleza ulimi isituyumbishe.
Muungano huu wa kikanyaboya ni janga la taifa la Tanganyika. Tangu nchi hii ianze kungozwa na Rais wa kigeni, kuna mambo ya ovyo sana yanafanyika.Huu muungano ni JANGA Kwa watanganyika
Kwani kosa la Pascal Mayalla mpaka hapo ni lipi mkuu? Unamuandama bure🤣🤣🤣Mayala tangu uanze kulamba asali kwenye vibahasha vya Press Umekuwa mtu wa ajabu sana
Aendelee kuomba majini yake yamsaidie. Kilichompata mwenzake alipojaribu kuteka na kuua watu ni fundisho kwake.Na akilazimisha, Mungu Yehova Atatusaidia kama kipindi kile. Akaendelee kuombewa na majini huko majinini
Hili suala la kumpumzisha tumuachie mola wetu, ili ampe pumziko jema la mileleHuyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.
MvuruganoNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.
View attachment 3260960
MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanganyika anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.
Ndio. Huwa wanatuwekea Makamu wa Rais bosheni kumbe Makamu wa Rais halisi yupo Zanzibar.