Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

Sheria kama haijavunjwa huwa inaendelea kutumika. Watoto wa juzi ndio wanaweza wasimuelewe Jaji Hamisi Juma.
Sheria haijavunjwa eeh? Una shida kichwani mwako mkuu. Inawezekanaje raia kutoka nchi ya Zanzibar (Samia Suluhu) aje kutawala nchi ya Tanganyika? Uliwahi kuona mtanganyika hata mmoja anatawala nchi ya Zanzibar?
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.
Kumbe kuna Makam wa kwanza na Makam wa pili
1741257123016.jpeg
 
Kwanza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Haina Makamu wawili wa Raisi kwa Sasa, kama ilivyokuwa miaka ile ya mwanzo wa Utawala wa Raisi Mwinyi.

Inaonekana Jaji Mkuu, kama mwanadamu, anajuchanganya mwenyewe au Bado katika kumbukumbu zake anao ule utaratibu wa enzi za Mwinyi.

Hata hivyo Jaji Mkuu sio point of reference mpaka tuamini au kutatanishwa na kauli yake haswa pale inapokuwa kinyume au ulimi kuteleza.

Kwani Katiba yetu inasemaje?,
Screenshot_20250306-132323.jpg

Hiyo ndio Katiba na ndio uhalisia.
Kauli ya Jaji Mkuu ya kuteleza ulimi isituyumbishe.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.

View attachment 3260960

MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanzania anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.​

Na akilazimisha, Mungu Yehova Atatusaidia kama kipindi kile. Akaendelee kuombewa na majini huko majinini
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.

View attachment 3260960

MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanzania anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.​
Huu muungano ni JANGA Kwa watanganyika
 
Kwanza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Haina Makamu wawili wa Raisi kwa Sasa, kama ilivyokuwa miaka ile ya mwanzo wa Utawala wa Raisi Mwinyi.

Inaonekana Jaji Mkuu, kama mwanadamu, anajuchanganya mwenyewe au Bado katika kumbukumbu zake anao ule utaratibu wa enzi za Mwinyi.

Hata hivyo Jaji Mkuu sio point of reference mpaka tuamini au kutatanishwa na kauli yake haswa pale inapokuwa kinyume au ulimi kuteleza.

Kwani Katiba yetu inasemaje?,
View attachment 3261142
Hiyo ndio Katiba na ndio uhalisia.
Kauli ya Jaji Mkuu ya kuteleza ulimi isituyumbishe.
Kwanini akosee kila mara mkuu? Rais Samia must behave. Amepora rasilimali za Tanganyika amewapa wajomba zake waarabu. Naona sasa amefika mbali hadi anapora vyeo vya watanganyika anawapa wazanzibar kimyakimya. Hatutakubali. Nchi imefika hapakwa sababu ya kuongozwa na Rais kutoka nchi ya kigeni (Zanzibar). Nchi ingekuwa inatawaliwa na mtanganyika mwenye uchungu na nchi yake, isingefika hapa.
 
Wazenji wanataka kututawala ila kwa mara ya kwanza watavunja record ya kuwa watawala wanaochapwa mijeledi na wanaowatawala
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.

View attachment 3260960

MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanganyika anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.​
Mvurugano
 
Ndio. Huwa wanatuwekea Makamu wa Rais bosheni kumbe Makamu wa Rais halisi yupo Zanzibar.

Kwa huu upuuzi, wanaCCM wenye akili timamu, wanaoipenda nchi yao, fanyeni kila mnaloweza kumpumzisha huyu mama. Kwa tunavyoenda, huko mbeleni watu hawatataka hata kusikia jina la huyu mama na CCM. Utawala wake umeidhalilisha sana Tanganyika:

Fikiria alipoamua kugawa bandari kwa waarabu, walioshiriki kwenye deal lote, kuanzia waziri, katibu mkuu, mwanasheria na mkurugenzi wa bandari, wote walikuwa wazanzibari. Alipoamua kugawa mbuga za wayama na na hifadhi za misitu kwa waarabu, waziri alikuwa mkwe wake. Alipoamua kupora uchaguzi wa Serikali za mitaa, alimpeleka mkwe wake kwenda kusimamia huo uharamia!!

Tumkatae Samia kwa sababu ameonekana wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa hana dhamira njema na rasilimali za Tanganyika, na Tanganyika kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom