Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

Kwahiyo ukishakua haukubali unachukua hatua gani au kulialia mtandaoni?
 
Raisi vipi wakati raisi ni mwinyi. Usituchoshe.
Hiyo ilikua issue ya utambuzi na hiyo ni bara. Nothing else.
Nimefikiri kwa haraka kidogo nikajiuliza swali,kama raisi wa Zanzibar ndiye makamu wa kwanza wa raisi na makamu wa raisi anayetambuliwa kama makamu wa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ndiye makamu wa raisi wa pili as per CJ,kwanini raisi alipofi
a madarakani makamu huyo wa kwanza ambaye ni raisi wa Zanzibar ndiye asiwe raisi wa jamuhuri ya muungano?Badala yake makamu wa raisi wa pili ndiye awe raisi wa muungano na ambaye anatajwa na CJ abaki kuwa wa Zanzibar hii kiitifaki inagoma.

Kama CJ anafanya makosa unatamani kujua mtu mwenye dhamana kubwa ya mhimili wa sheria anarudiaje makosa mara zote hizo.

Nyie isije ikawa huyu ndugu kuna kitu anakijua sirini ohooo?

Hatuna watu wenye weledi wa kutaka kujua kwa kumuuliza CJ kujua anakosea bahati mbaya,anamaanisha au anazingua.

Ivi mnaona hicho ni kitu kidogo ndugu zangu?Siku tukianza kuhoji vitu vidogo vya msingi tutaweza kuhoji na vingine vikubwa na sensitive.
 
Tunajaribu kwanza kutoa somo la kijitambua kwa wananchi. Mkishakuwa wengi tutamia nguvu ya umma kumuadabisha bi Kiroboto hadi ashike adabu yake mkuu.
Ni kweli Utamshikisha adabu nyuma ya keyboard
 
Wadanganyika bana... mnaumia eeeh😃😃..

Haya maneno tu hayapo ground
 
Mimi sio ccm lakini ni muumini wa ukweli;
1.. Iweje umsingizie Samia kuwa ndiye aliyebuni hiyo nafasi ya makamu wa pili ilhali inaonyesha wazi ni makosa ya jaji mkuu tena aliyaanza tangu enzi za Magufuli?

Ukijibu hili swali nitakuuliza la pili
Nani ana uhakika na clip labda imechakachuliwa.
Pili yupo Jaji Mkuu aliyeonekana akitoa maneno hayo kwanini msimuulize?
Tatu cheo cha makamu wa pili wa Raisi je kipo kwenye katiba?
Nilidhani fools day ipo April mosi kumbe kuna nyingine kama hii.
 
Nenda kashuhudie ,,majahazi ya kimkaz..yanavyo somba vitu vya watanganyika ikifika hyo mi5 tena..tanganyika itakuwa nyeupe no raslimali zitazo salia.....
 
Sheria haijavunjwa eeh? Una shida kichwani mwako mkuu. Inawezekanaje raia kutoka nchi ya Zanzibar (Samia Suluhu) aje kutawala nchi ya Tanganyika? Uliwahi kuona mtanganyika hata mmoja anatawala nchi ya Zanzibar?
Hivi Mzee Mwinyi alikuwa mtu wa Bara ama Visiwani?

N.b Nchi ya Tanganyika ilimezwa na Serikali ya JMT
 
Kwa hiyo kama maza akiondoka leo kwenda alikokwenda magufuli, atakayepewa Jamhuri ni nani? Ni huyu ambae tayari ni kiongozi wa "nchi"? Hiyo "nchi" yake atamwachia nani kulingana na katiba yao?
 
Laiti ungelijua, mimi huwa nafanya kazi ya uandishi na utangazaji kwa kujitolea tuu for the love of it,huwa silambi asali na silambishwi asali。
P
Kaka usitake tukutajie hapa orodha ya asali ulizo lamba!
Usijifiche kwenye kichaka cha kujitolea ili kuomba nafasi zaidi! Lakini vibahasha ulivyopokea hasa mwishoni mwa magufuli na mwanzo mwa samia vilikuharibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…