Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.
View attachment 3260960
MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanganyika anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.