Kitendo cha Kanisa kufungisha ndoa ya Joti huku akiwa amenyoa mtindo wa kihuni ni sahihi?

KANISA KATOLIKI HATUANGALII MUONEKANO WA NJE HAYO MAMBO TUNAMWACHIA MUNGU.HATA BIA ZITAPIGWA LEO BILA SHIDA NA NYIE MNAOKUNYWA KWA KUJIFICHA KARIBUNI.SISI TUNAKUNYWA NA MAPADRE WETU MEZANI BILA YA KUJIFICHA FICHA.
Partly umewajibu mkuu kwa usahihi asante
 
sipat picha vicheko humo kanisani nahis watu walikuwa hawana mbavu
 
weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
Kwahiyo unaona amefanya sahihi? Hajafanya kitendo kizuri na haipendezi kiduku kiishie kwenye sanaa...tuna mila ns taratibu zetu kwanza sijui wakwe walimpokeaje na hilo likiduku ptuuuuu.
 
Sehemu kubwa ya hii dini inaendeshwa kwa mitazamo binafsi ya watu ,hata katika hili suala wanaoona Joti amekosea na hao wanaoona hakuna kosa wote hutumia mitazamo yao binafsi.
 
Mambo ya Walawi 19:27

Law 19:27
Walawi 19:27
"Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu"
weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
 
Mambo ya walawi yalikuwa yanawahusu wana wa Israel na si watu wa mataifa, ndio maana alikuja Masihi kuukomboa ulimwengu wote wakiwemo watu wa mataifa, hizo sheria zote zilihusu watu wa Israel na si wewe
Umekwisha mkuu

Hakuna hata moja linakuhusu kwenye maandiko kwa kauli hii
 
HIVI ANAYEAMUA KUWA MTINDO SAHIHI WA KUNYOA NYWELE NI NANI.HAYO MAWIGI YA MAITI. MARASTA, VIPARA(AU VINAITWA KWA KINYOZI TAKO).MTINDO WA JOTI WAMASAI WAMEKUWA NAO MUDA MREFU KWA HIYO NI WAHUNI
View attachment 619281


Huyu jamaa ni muhuni kwa akili za watanzania wenye akili za mgando. Basi hapa atatafutwa akamatwe na kulazimishwa akanyoe na avae kama watu wengine. Watanzania ondokeni na hizi akili za kuganda ama za kukariri kila kitu.
 
Hivi tukisema tufuate sheria zote walizopewa hao Walawi kuna mtu wa Dunia ya leo angeiona hiyo Paradiso?

Kifo cha Yesu pale msalabani kiliondoa sheria zote hizi.
Hakuna mwema wote tu wachafu tunajaliwa kwa neema tuu kutenda yatupasayo

Hizi ni kauli tunajipa moyo ila Mungu ni wa rehema atatusaidia kila kitu tusione kizito kushika na kutenda
 
Kuna amri inasema usiibe,usiseme uongo Je unazifuata?

Km unazishika uliandikiwa wewe??

Alipewa Musa awapelekee israel sasa wewe ni muisrael??

Mungu anisaidie na atusaidie kwa kweli tuna hali mbaya

Amri kuu tuliyopewa na mkombozi wetu ni upendo. Ukiwa na upendo huwezi kuiba, kuua, kusema uongo na kadhalika.

Amri zote zilizotakiwa kufuatwa na mataifa zimetajwa kwenye agano jipya.
 
One of those sad things. Eventually what we do and take as normal things, end up going in the holy places. Ndio maana hata ushoga wapo wanaoona ni kitu sawa akiwemo askofu Desmond Tutu
This is hypocracy!! Would you tell me which verse in the holy bible condemns or recommends any type of haircut? As far as I can remember Samson parents were told not to cut their son's hair.
Homosexuality is explicitly condemned in the the bible.
And we can see Sodom and Gomorah were burned to ground as a consequence of this grave sin.

Stop complicating things in the umbrela of religion, cause this makes people feel following God's will is a total loss of freedom.

I'm waiting that verse which made you say Joti's styled haircut is a sin according to the canonical laws and the Holy bible.
 
Tukifikia kufurahia uovu na kushindwa kukemea basi dini hiyo ni batili na kanisa hilo ni La waovu. wewe kiongozi, sijui padri, sijui mchungaji unaogopa kukosa sadaka? someni maandiko. kuna makuhani waliadhibiwa wao kwa kushindwa kukemea uovu wa watu wao. ukweli ni huu, "MSINYOE DENGE PEMBE ZA VICHWANI, WALA MSIHARIBU PEMBE ZA NDEVU ZENU...."(mambo ya walawi 19:27). eti wanamwonea wivu! hao wahuni wenzake waliompeleka madhabahuni na kumfungisha ndoa hawajui? MUNGU HANA CHA BAHATI MBAYA WALA DHARULA.
 
Amri kuu tuliyopewa na mkombozi wetu ni upendo. Ukiwa na upendo huwezi kuiba, kuua, kusema uongo na kadhalika.

Amri zote zilizotakiwa kufuatwa na mataifa zimetajwa kwenye agano jipya.
Upendo bila matendo umekufa

Matendo hayo ni yapi???
 
Hakuna mwema wote tu wachafu tunajaliwa kwa neema tuu kutenda yatupasayo

Hizi ni kauli tunajipa moyo ila Mungu ni wa rehema atatusaidia kila kitu tusione kizito kushika na kutenda

Ndiyo maana nikakwambia hizo sheria walipewa waisrael kulingana na mazingira yao ya kipindi kile. Hata sadaka zao zilikuwa tofauti na sadaka za baada ya Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…