Upendo bila matendo umekufa
Matendo hayo ni yapi???
[emoji114] [emoji119]Ndiyo maana nikakwambia hizo sheria walipewa waisrael kulingana na mazingira yao ya kipindi kile. Hata sadaka zao zilikuwa tofauti na sadaka za baada ya Yesu.
1Yoh3:18Ni imani bila matendo.
Unaposema “upendo bila matendo” sipati logic yako.
Satanical appearances.. Kuna jamii ambazo kwa jinsi zinavyoharibu miili yao ni kielelezo tosha cha uwepo wa shetani. Huwezi kutoboa toboa mwili au kuweka mitindo ya nywele ya kishetani ukabaki kuwa kielelezo cha mfano wa MunguHIVI ANAYEAMUA KUWA MTINDO SAHIHI WA KUNYOA NYWELE NI NANI.HAYO MAWIGI YA MAITI. MARASTA, VIPARA(AU VINAITWA KWA KINYOZI TAKO).MTINDO WA JOTI WAMASAI WAMEKUWA NAO MUDA MREFU KWA HIYO NI WAHUNI
View attachment 619281
kwahiyo wamasai wote ni mashetani!!! huu ni ukoloni mamboleo kuhusudu vitu vya waarabu na wazungu tuSatanical appearances.. Kuna jamii ambazo kwa jinsi zinavyoharibu miili yao ni kielelezo tosha cha uwepo wa shetani. Huwezi kutoboa toboa mwili au kuweka mitindo ya nywele ya kishetani ukabaki kuwa kielelezo cha mfano wa Mungu
Mambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
Mbona amependeza Sana kaangalie ktk biblia Kama inakatazwa kisha uje.
Acha ufarisayo
Joti yupo sawa.
Huna exposure, Hujui kitu
Inawezekana kwa imani yake huyo mtu ya Kanisa la Mashahidi wa Uganda inaweza kuruhusu. Nimesikia sio RC bali amefungia kanisa la Mashahidi wa Uganda, sijafahamu ki undani imani yao.View attachment 619433
Mambo ya walawi 19:27
Unataka kutuambia amri alizopewa Musa kule mlimani nowadays hazituhusu! Yaani hakuna haja ya kuwaheshimu wazazi! Ni kutamani kwa kwenda mbele, kuua sio kosa?Mambo ya walawi yalikuwa yanawahusu wana wa Israel na si watu wa mataifa, ndio maana alikuja Masihi kuukomboa ulimwengu wote wakiwemo watu wa mataifa, hizo sheria zote zilihusu watu wa Israel na si wewe