Baba Masagu
Senior Member
- Aug 30, 2020
- 128
- 41
Mijizi inaenda giza. Tutaishida mi ccm sina shaka
Kapige Acha ufala. Mnataka mtie taharuki watu. Kazi inaendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mijizi inaenda giza. Tutaishida mi ccm sina shaka
Hii ndio inaitwa spana! Baada ya matokeo kutangazwa ndio atoe spana, wewe lipia king'amuzi chako utapata matokeo na taarifa zingine za kweli sio za kupika!Haaa...kafungia hadi Play store na App store?
Washamba kweli hawa....
Jf peke yake jana ime experience mashambulizi 13000 ya kimtandao.Hauna madhara kama hiyo ikiyofungiwa, maana hata watu wanaonzisha nyuzi humu, hasa wana ufipa kwa asilimia kubwa huwa wanategemea habari kutoka twitter kwa Mungu wao Kigogo.
We huoni tangu mitandao mikubwa ipigwe pini Jf imegeuka uwanja wa malalamiko tu[emoji848]?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini msimwanbie kigogo ahack tcra? Yeye si bingwa wa kuhack hadi tume?Jf peke yake jana ime experience mashambulizi 13000 ya kimtandao.
Nani alijarib kuupiga chini?
Najua wewe uko Tz, amka ukapige kura acha uongo wa kiboya hautasidia.Jf peke yake jana ime experience mashambulizi 13000 ya kimtandao.
Nani alijarib kuupiga chini?
Hii imeongeza tention sana. Watu hawakuona kama kuna tatizo sana. Bado sote tunaishi pamoja bila kujali siasa ya mtu. Sasa watu wanasema khaa kumbe ni hayooTarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?
Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.
Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Nyoko. Eti uwongo hauta kusaidia? Kwa taarifa yako tu mtafuta max melo.Najua wewe uko Tz, amka ukapige kura acha uongo wa kiboya hautasidia.
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?
Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.
Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Kwa bahati mbaya kushinda uchaguzi ndio jambo la muhimu kwa CCM kuliko maisha yenyewe. Wapo tayari kufanya lolote kwa namna yoyote lakini sio serikali iwaponyoke mikononi kisa "vijikaratasi vya kura"!!! They shoot first and apologise after
Sasa unaniambia mm ili nifanye nini? Si umfuate kigogo umwambie mwenyewe.Kwanini msimwanbie kigogo ahack tcra? Yeye si bingwa wa kuhack hadi tume?
Aliwalisha matangopori na mlivyo vichwa nazi mkaamini selikali haina la kufanya.
Hii ni nchi nadhani mmeona sasa kwamba tz ni kubwa kuliko kigogo
Kwani ulizaliwa na mitandao!? Mbona unajitoa ufahamu!? Kabla ya kuwepo smartphones kwani hakukua na maisha!? Hebu acheni ulimbukeni!? Twendeni tukamuwezeshe chuma JPM azidi kutuletea maendeleo kama ulaya!Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?
Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.
Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?
Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.
Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Fikiri zaidi wapo watu wamepata hofu hawaendi kupiga kura. Wanasema kumbe kuna fujo hata wakaamua kuzima mitandao! Wamama na wazee webgi huipigia ccm wana hofuSiwezi kuinyima kura CCM sababu ya mitandao
Kings ni bora kuliko ribs! Nawapongeza Sana TCRA Kuwa hili😘😘😘! Twendeni tukampe kura jembe letu JPM!1.Watu wataacha kununua internet bando maana wengine hununua kwa ajii ya social media.Watanunua Bando kwa ajili ya calls na messages Basi.
2.Wajasiriamali wanaotegemea kutangaza bidhaa zao kwenye mitandao ya kijamii nao wameathirika na kuzimwa mitandao.
3.Kila mtu anaathirika na uzimaji mitandao haiangalii Ni CCM au Upinzani.
Hivi Nini hasa kinaogopwa mpaka mitandao izimwe? Inamaana Sasa hivi Watanzania hatuaminiki kuwa Ni watu wa Amani mpaka tunalazimishwa kutowasiliana? Kuna baya gani walilotufanyia mpaka waogope tusiwasiliane
Unaweza ona we ndio think tank wa CCM.Sitegemei Kama utakuja tena kucomment maana hukuzaliwa na mitandaoKwani ulizaliwa na mitandao!? Mbona unajitoa ufahamu!? Kabla ya kuwepo smartphones kwani hakukua na maisha!? Hebu acheni ulimbukeni!? Twendeni tukamuwezeshe chuma JPM azidi kutuletea maendeleo kama ulaya!
Mkuu naomba nitumie jina analotumia insta kigogo nimfoloKigogo anazo number Toll free kuanzia mapema tu kesho tutaanza kupata update. Ni mwendo wa SMS wazime kabisa mawasiliano ya simu.
Nenda katangaze mitandaoni kuwa twendeni tukampigie kura JPMKings ni bora kuliko ribs! Nawapongeza Sana TCRA Kuwa hili[emoji8][emoji8][emoji8]! Twendeni tukampe kura jembe letu JPM!
Acha ngojera hizo! Twendeni tukapige kura tumpe nguvu jembe letu Dr. JPM!Fikiri zaidi wapo watu wamepata hofu hawaendi kupiga kura. Wanasema kumbe kuna fujo hata wakaamua kuzima mitandao! Wamama na wazee webgi huipigia ccm wana hofu
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Ila kuna watu mmejaza ugoro vichwaniWamefanya vizuri Sana. Mitandao haipigi kura .