Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

SISI KAZINI KWETU TOKA JANA HAKUNA INTERNET, KI UKWELI TUMEUMIA SANA...TUMESHINDWA KUTOA SALES INVOICES NA CASH SALES KWA SABABU YA KUKOSA INTERNET...ACHA KESHO NIKAPIGE KURA YANGU...HALAFU NISIKIE MTU ANAKUJA KUMTANGAZA MWINGINE AMBAYE HAJASHINDA...TUTAELEWANA AISEE...
4184F075-0E8A-46FF-8A00-1B063B3448E7.jpeg
 
mitandao ya usingizi wa PORN bado inapatikana, bavicha mnaweza enda jiliwaza! Naona mmesahahu hata kwenda piga kura mko bize kulia lia humu kama kawaida yenu!
Mitandao itawashwa baada ya matokeo, taarifa za uchaguzi mtapata TBC.
 
Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
kwa hiyo unaamini ccm itang'olewa na watumiaji wa play store?
 
Hawa wapuuzi wamenifanya niwahi leo saa kumi na mbili kupiga kura kwa hasira na huwa sipendi kupanga foleni ila leo imenibidi tu yaani nina hasira hapa nikiona vibibi vichawi vya ccm vinapiga kura afu maskini natamani nigeuke simba niwameze
 
Fikiri zaidi wapo watu wamepata hofu hawaendi kupiga kura. Wanasema kumbe kuna fujo hata wakaamua kuzima mitandao! Wamama na wazee webgi huipigia ccm wana hofu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Watu wanaotumia mitandao hii yenye social media ni wachache sana. Na ndiobtatizo lenu upinzani kuwekeza nguvu nyingi kwenye sehemu ndogo na kuacha sehemu kubwa. Pia kwa hao wachache wa motandao hii bado hawazuiliwi kwenda piga kura, wakowa na hofu ni tatizo lao binafsi. Na wengi wanaolia lia ni bavicha na wadu wao hivyo yaonekana walikua na jambo lao fulani la ki-IT kama kawaida mkono mrefu umefika panako.
 
Unaweza ona we ndio think tank wa CCM.Sitegemei Kama utakuja tena kucomment maana hukuzaliwa na mitandao
Uelewa wako hauna uelewa! Kuwepo au kutokuwepo mitandao hukunizuii kuishi kwa amani na kufanya Mambo yangu! Kwa umuhimu wa amani yetu isije vurugwa na wenye akili za kushikiwa...maana wakiambiwa ingia barabarani bila hata kutafakari, wanajitupia tu! Hawa na Kama na ww ni mmoja wao wanahitaji kufungwa nira ili kuwaongoa! Hii ni njia rahisi ktk kuwaongoa! Twendeni tukampigie kura Magu na makada wa CCM kura ili kutuletea maendeleo! Wale wapingaji na watoka nje ya binge na wafunga midomo tuwapumzishe wasije suffocate bure kea kukomaa hewa!
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Ujeuri huu unatokana na wao kutojali maamuzi ya wapiga kura kwa kuwa Tume ya uchaguzi ni yao. Wanauhakika wa kutangazwa washindi hata wasipopigiwa kura.
 
Vijana tumejitokeza kwa wingi kuliko wazee maana wengi wapo ccm huku mbeya
 
Wafunge tu waandishi wa habari ni wengi mno, tunataka amani injili ya Yesu ihubiriwe. HAKI ina MUNGU peke yake
 
Hawa wapuuzi wamenifanya niwahi leo saa kumi na mbili kupiga kura kwa hasira na huwa sipendi kupanga foleni ila leo imenibidi tu yaani nina hasira hapa nikiona vibibi vichawi vya ccm vinapiga kura afu maskini natamani nigeuke simba niwameze
Kabigie chuma JPM, labda Kama ww ni shiga hapo mpigie shiga ako!
 
Natumia dedicated internet hapa, internet bwerere.....
Social media zote tunatwanga!
Nashauri spana ibanwe zaidi kwenye network...
 
Hawa wapuuzi wamenifanya niwahi leo saa kumi na mbili kupiga kura kwa hasira na huwa sipendi kupanga foleni ila leo imenibidi tu yaani nina hasira hapa nikiona vibibi vichawi vya ccm vinapiga kura afu maskini natamani nigeuke simba niwameze
Angalia usipoge pia kwa hasira tiki likapitiliza nje ya box, kura yako ufipa wanaitaka mkuu
 
Mijitu mijinga kama wew n hasara kubwa kwa taifa
Nilipanga nisipige kura kutokana na umbali niliopo na kituo nilichojiandikisha lakin kwa ujinga mliofanya Jana najiandaa asubuhi hii nipande basi mpaka saa nane au tisa ntakua nimefika nikaisambaratishe ccm kwenye sanduku la kura.
Mijitu mijinga sana nyie
Uelewa wako hauna uelewa! Kuwepo au kutokuwepo mitandao hukunizuii kuishi kwa amani na kufanya Mambo yangu! Kwa umuhimu wa amani yetu isije vurugwa na wenye akili za kushikiwa...maana wakiambiwa ingia barabarani bila hata kutafakari, wanajitupia tu! Hawa na Kama na ww ni mmoja wao wanahitaji kufungwa nira ili kuwaongoa! Hii ni njia rahisi ktk kuwaongoa! Twendeni tukampigie kura Magu na makada wa CCM kura ili kutuletea maendeleo! Wale wapingaji na watoka nje ya binge na wafunga midomo tuwapumzishe wasije suffocate bure kea kukomaa hewa!
 
Nimeshamaliza open test yangu naelekea nyumbani...najiandaa kushangilia USHINDI WA KIHISTORIA WA MAGUFULI.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom