Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Haaa...kafungia hadi Play store na App store?
Washamba kweli hawa....
Hii ndio inaitwa spana! Baada ya matokeo kutangazwa ndio atoe spana, wewe lipia king'amuzi chako utapata matokeo na taarifa zingine za kweli sio za kupika!
Nashauri jpm abane zaidi. Sie tunatumia dedicated internet hapa tunapeta tu.
 
Jf peke yake jana ime experience mashambulizi 13000 ya kimtandao.
Nani alijarib kuupiga chini?
 
Jf peke yake jana ime experience mashambulizi 13000 ya kimtandao.
Nani alijarib kuupiga chini?
Kwanini msimwanbie kigogo ahack tcra? Yeye si bingwa wa kuhack hadi tume?

Aliwalisha matangopori na mlivyo vichwa nazi mkaamini selikali haina la kufanya.

Hii ni nchi nadhani mmeona sasa kwamba tz ni kubwa kuliko kigogo
 
Hii imeongeza tention sana. Watu hawakuona kama kuna tatizo sana. Bado sote tunaishi pamoja bila kujali siasa ya mtu. Sasa watu wanasema khaa kumbe ni hayoo

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Najua wewe uko Tz, amka ukapige kura acha uongo wa kiboya hautasidia.
Nyoko. Eti uwongo hauta kusaidia? Kwa taarifa yako tu mtafuta max melo.
Yeye mwenyewe kakiri. Na jana waataalam tumechek kwenye system maalum ni kweli.

So huniambii kitu bro.
 
Mabadiliko ni muhimu hata kama watazuia watu wachache bado yatakuja tu cha msingi ni kuangalia njia nyingine ya kupashana habari.

Kwa bahati mbaya kushinda uchaguzi ndio jambo la muhimu kwa CCM kuliko maisha yenyewe. Wapo tayari kufanya lolote kwa namna yoyote lakini sio serikali iwaponyoke mikononi kisa "vijikaratasi vya kura"!!! They shoot first and apologise after
 
Kwanini msimwanbie kigogo ahack tcra? Yeye si bingwa wa kuhack hadi tume?

Aliwalisha matangopori na mlivyo vichwa nazi mkaamini selikali haina la kufanya.

Hii ni nchi nadhani mmeona sasa kwamba tz ni kubwa kuliko kigogo
Sasa unaniambia mm ili nifanye nini? Si umfuate kigogo umwambie mwenyewe.
Maana mm sina undugu au ujirani nae wala hata huko anapo post sipo.

Unapoanza kulaumu usinijumuishe kwenye makundi yenu ya siasa.

Tafuta wahusika wapelekee ujumbe.
 
1.Watu wataacha kununua internet bando maana wengine hununua kwa ajii ya social media.Watanunua Bando kwa ajili ya calls na messages Basi.
2.Wajasiriamali wanaotegemea kutangaza bidhaa zao kwenye mitandao ya kijamii nao wameathirika na kuzimwa mitandao.
3.Kila mtu anaathirika na uzimaji mitandao haiangalii Ni CCM au Upinzani.


Hivi Nini hasa kinaogopwa mpaka mitandao izimwe? Inamaana Sasa hivi Watanzania hatuaminiki kuwa Ni watu wa Amani mpaka tunalazimishwa kutowasiliana? Kuna baya gani walilotufanyia mpaka waogope tusiwasiliane
 
Kwani ulizaliwa na mitandao!? Mbona unajitoa ufahamu!? Kabla ya kuwepo smartphones kwani hakukua na maisha!? Hebu acheni ulimbukeni!? Twendeni tukamuwezeshe chuma JPM azidi kutuletea maendeleo kama ulaya!
 
 
Kings ni bora kuliko ribs! Nawapongeza Sana TCRA Kuwa hili😘😘😘! Twendeni tukampe kura jembe letu JPM!
 
Kwani ulizaliwa na mitandao!? Mbona unajitoa ufahamu!? Kabla ya kuwepo smartphones kwani hakukua na maisha!? Hebu acheni ulimbukeni!? Twendeni tukamuwezeshe chuma JPM azidi kutuletea maendeleo kama ulaya!
Unaweza ona we ndio think tank wa CCM.Sitegemei Kama utakuja tena kucomment maana hukuzaliwa na mitandao
 
Kigogo anazo number Toll free kuanzia mapema tu kesho tutaanza kupata update. Ni mwendo wa SMS wazime kabisa mawasiliano ya simu.
Mkuu naomba nitumie jina analotumia insta kigogo nimfolo
 
Fikiri zaidi wapo watu wamepata hofu hawaendi kupiga kura. Wanasema kumbe kuna fujo hata wakaamua kuzima mitandao! Wamama na wazee webgi huipigia ccm wana hofu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Acha ngojera hizo! Twendeni tukapige kura tumpe nguvu jembe letu Dr. JPM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…