el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 495
- 575
SISI KAZINI KWETU TOKA JANA HAKUNA INTERNET, KI UKWELI TUMEUMIA SANA...TUMESHINDWA KUTOA SALES INVOICES NA CASH SALES KWA SABABU YA KUKOSA INTERNET...ACHA KESHO NIKAPIGE KURA YANGU...HALAFU NISIKIE MTU ANAKUJA KUMTANGAZA MWINGINE AMBAYE HAJASHINDA...TUTAELEWANA AISEE...
U mdesi be! [emoji1787]Kama playstore haidownload njoo inbox
Wengine mmepewa vichwa kama sanduku la kubebea meno tuKura zote kwa Magufuli, ushindi kama kumsukuma mlevi, Lissu ni loser
kwa hiyo unaamini ccm itang'olewa na watumiaji wa play store?Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
Watu wanaotumia mitandao hii yenye social media ni wachache sana. Na ndiobtatizo lenu upinzani kuwekeza nguvu nyingi kwenye sehemu ndogo na kuacha sehemu kubwa. Pia kwa hao wachache wa motandao hii bado hawazuiliwi kwenda piga kura, wakowa na hofu ni tatizo lao binafsi. Na wengi wanaolia lia ni bavicha na wadu wao hivyo yaonekana walikua na jambo lao fulani la ki-IT kama kawaida mkono mrefu umefika panako.Fikiri zaidi wapo watu wamepata hofu hawaendi kupiga kura. Wanasema kumbe kuna fujo hata wakaamua kuzima mitandao! Wamama na wazee webgi huipigia ccm wana hofu
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Uelewa wako hauna uelewa! Kuwepo au kutokuwepo mitandao hukunizuii kuishi kwa amani na kufanya Mambo yangu! Kwa umuhimu wa amani yetu isije vurugwa na wenye akili za kushikiwa...maana wakiambiwa ingia barabarani bila hata kutafakari, wanajitupia tu! Hawa na Kama na ww ni mmoja wao wanahitaji kufungwa nira ili kuwaongoa! Hii ni njia rahisi ktk kuwaongoa! Twendeni tukampigie kura Magu na makada wa CCM kura ili kutuletea maendeleo! Wale wapingaji na watoka nje ya binge na wafunga midomo tuwapumzishe wasije suffocate bure kea kukomaa hewa!Unaweza ona we ndio think tank wa CCM.Sitegemei Kama utakuja tena kucomment maana hukuzaliwa na mitandao
Ujeuri huu unatokana na wao kutojali maamuzi ya wapiga kura kwa kuwa Tume ya uchaguzi ni yao. Wanauhakika wa kutangazwa washindi hata wasipopigiwa kura.Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?
Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.
Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Kabigie chuma JPM, labda Kama ww ni shiga hapo mpigie shiga ako!Hawa wapuuzi wamenifanya niwahi leo saa kumi na mbili kupiga kura kwa hasira na huwa sipendi kupanga foleni ila leo imenibidi tu yaani nina hasira hapa nikiona vibibi vichawi vya ccm vinapiga kura afu maskini natamani nigeuke simba niwameze
mavi kabisaSiwezi kuinyima kura CCM sababu ya mitandao
Acha kuwasemea, ww jisemee mwenyewe! Mby ni ya JPM na tulia!Vijana tumejitokeza kwa wingi kuliko wazee maana wengi wapo ccm huku mbeya
Angalia usipoge pia kwa hasira tiki likapitiliza nje ya box, kura yako ufipa wanaitaka mkuuHawa wapuuzi wamenifanya niwahi leo saa kumi na mbili kupiga kura kwa hasira na huwa sipendi kupanga foleni ila leo imenibidi tu yaani nina hasira hapa nikiona vibibi vichawi vya ccm vinapiga kura afu maskini natamani nigeuke simba niwameze
Uelewa wako hauna uelewa! Kuwepo au kutokuwepo mitandao hukunizuii kuishi kwa amani na kufanya Mambo yangu! Kwa umuhimu wa amani yetu isije vurugwa na wenye akili za kushikiwa...maana wakiambiwa ingia barabarani bila hata kutafakari, wanajitupia tu! Hawa na Kama na ww ni mmoja wao wanahitaji kufungwa nira ili kuwaongoa! Hii ni njia rahisi ktk kuwaongoa! Twendeni tukampigie kura Magu na makada wa CCM kura ili kutuletea maendeleo! Wale wapingaji na watoka nje ya binge na wafunga midomo tuwapumzishe wasije suffocate bure kea kukomaa hewa!