Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Siku imekuwa yenye msongo kwako
Wengine sie TUKO POA
Na tutamchagua Magu
 
Jamaa mshamba sana aisee.. ngoja tukamuoneshe kazi kesho.. KMMK!!
 
Punguani kichwani. CCM itashinda kwa kishindo kikubwa,watanzania wazalendo tunakwenda na JPM mpaka 2025.
 
Sales invoices na cash sales utatota ijumaaa
Subiri tukampitishe magu kwanza
Hilo ndii Jambo la myhimu kwa sasa
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store)...
Tukisema magufuli hafai kuwa Raisi msidhani kuwa tuna chuki nae bali tunasema ukweli na tunamaanisha kweli. Huyu mtu ni kweli hafai kabisa sio tu kuwa Raisi bali hata diwani tu. Huyu mtu ni fedhuli na dikteta wa kiwango cha juu kabisa na hana ubinadamu kabisa.

Wito wangu kwa watanzania, Leo tu mmeona udhalimu wa huyu jamaa kwa kuzima mitandao, huu ni uthibitisho kuwa kesho tukapige kura kwa wingi na tuzilinde kura zetu kweli kuhakikisha huyu fedhuli harudi tena madarakani
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store)...
Yani hapa kagusa pa baya ni jambo la kipuuzi atuvunje miguu, atoboe macho ili tushindwe kupiga kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…