Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Play store nayo imezimwa kwa sababu inatoa mwanya wa kudownload universal VPN /APN ambayo ukiinstall kwenye simu yako inakuwezesha kufungua mitandao iliyofungwa/iliyozimwa katika ngazi ya Nchi.
Si unaweza download kupitia google
 
kwani hata hii JF wangeiotea unadhani kesho ningeamka nikiwa marehemu ?
Sasa mbona unavunja masharti ya mwenyekiti wako, kasema nkale kesho mkapige kula make kwenye TBC muangalie matokeo.

Wewe unafanya nini huku? Wewe sio mjumbe ndio?

Kama sio mjumbe ndio bhas wewe ni mpinzani karibu Tumpe kura Tundu Lissu
 
Kura zote kwa Magufuli, ushindi kama kumsukuma mlevi, Lissu ni loser

Kwahiyo sisi tufanyiwebujinga wa kufungiwa mtandao hatuwezi kufanya chochote halafu tumpe na kura huyo anayetufanya kama mateka wake. Hapana bwana
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Sijawahi kuona Linchi Kama Hili Akili Hamna, Uhuru hamn doooh Haki ya Mungu Raia Tunaumia sana Ingefaa Kuhama Uraia ningefanya ivyo...Ukiskia kuminya uhuru bx ndio huku...Maafrika meusi ambao kustaaf kwao hadi wafariki Sumaka
 
Majigambo ya wanachama 17m afu unafunga mitandao kwa wapinzani 5m
Tunafahamu vizuri sana, ''mzarau mwiba.'' ''Unakuwa mjinga wakati wa kwenda sio kurudi.''
 
Kwahiyo sisi tufanyiwebujinga wa kufungiwa mtandao hatuwezi kufanya chochote halafu tumpe na kura huyo anayetufanya kama mateka wake. Hapana bwana

Kumbe unawauma eeh ? Mlitaka mtandao muendelee kutukana ? Na kuhasisha vurugu ? Nyamafu
 
Sijawqhi kuona Linchi Kama Hili Akili Hamn Uhuru hamn doooh Haki ya Mungu Raia Tunaumia sana Ingefaa Kuhama Uraia ningefanya ivyo...Ukiskia kuminya uhuru bx ndio huku...Maafrika meusi ambao kustaaf kwao hadi wafariki Sumaka
Hama nchi mkuu. There is a free world out there to be explored.
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Mbona sisi tunaipata! Au umefungiwa wewe tu.
 
Back
Top Bottom