Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Sisi kazini kwetu toka jana hakuna Internet, kiukweli tumeumia sana. Tumeshindwa kuoa Sales, Invoices na Cash sales kwasababu ya kukosa internet. Acha kesho nikapige kura yangu, halafu nisikie mtu anakuja kumtangaza mwingine ambaye hajashinda, Tutaelewana aisee.
 
Vpn gani nzuri kuinstall nnje ya play store?
 
Uafungia pray store

Unafungia YouTube...
Mwisho wako wa majungu umefika wacha kulialia kama kasuku. Mlikolalia ndio tumeamkia, si mlijipanga kupotosha na kujifanya mkwara wenu upo juu sasa muda umefika mbichi zinajulikana.
 
Wako watu hawakuelewa kilichotokea, baada ya kujua msababishaji ni nani, kesho wana jambo lao
 
Back
Top Bottom