Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Mungu wangu haya mambo nilikuwa nayasikia! duh ila JF nao ni kiboko kwa ulinzi wa mtandaoni!
Hauna madhara kama hiyo ikiyofungiwa, maana hata watu wanaonzisha nyuzi humu, hasa wana ufipa kwa asilimia kubwa huwa wanategemea habari kutoka twitter kwa Mungu wao Kigogo.

We huoni tangu mitandao mikubwa ipigwe pini Jf imegeuka uwanja wa malalamiko tu🤔?
😂😂😂
 
Siwezi kuinyima kura Ccm sababu ya mitandao
Kwa sababu wewe ni zwazwa huna ubongo wa hata kujiuliza kwa nini wazime na wao wana uhakika wa kushinda kwa 98%
Screenshot_20201026-234301_Instagram.jpg
 
tena katika jambo la maana waliofanya ni kuzima mitandao ya kijamii maama kesho kila mtu angekua mtangaza matokeo.

hayo matusi yenu kawatukaneni baba zenu huko
Km mko
 
Tarehe 28 ni kesho. nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo ccm na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unaweza je kufungia play store? kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
BORA WAFUNGIE TUU WAHUNI WANGETUMIA VIBAYA KAMA WALIVYOFANYA WAKATI ULE WA COVID-19... #kuna maisha baada ya uchaguzi.
 
Kigogo anazo number Toll free kuanzia mapema tu kesho tutaanza kupata update. Ni mwendo wa SMS wazime kabisa mawasiliano ya simu.
Baadae msije kulalamika kuwa mliibiwa kura.Tunategemea Kigogo atakuwa msaada mkubwa sana kwenu.
 
Play store nazo zimezimwa kwa sababu huko ndo kuna program kibao zikiwemo APN na VPN ambazo ukiziinstall kwenye simu yako unaiwezesha kufungua mitandao iliyofungwa ngazi ya nchi
 
tena katika jambo la maana waliofanya ni kuzima mitandao ya kijamii maama kesho kila mtu angekua mtangaza matokeo.

hayo matusi yenu kawatukaneni baba zenu huko
Sasa hapa unaharisha kitandan kwako na sio mtandao ya kijamii

Jaman ebu tushuurishe akili zetu kidogo
 
hawa haja na kura yako kampe shoga mwenzio,wazalendo tunajambo letu.
 
Tarehe 28 ni kesho. nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo ccm na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unaweza je kufungia play store? kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.

CCM kama imeweza kuzima mtandao na una uhakika basi tutazima ngebe zenu kesho na mtafyata mkia
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
So Ushajieleza Hapa tumekusikiaa hujaridhikaaaa tumewaweza na vituo vyenu vya kuhesebu kura hahahahaha sijui mtatangazia wapi hahaha
 
Back
Top Bottom