Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Mwisho wako wa majungu umefika wacha kulialia kama kasuku. Mlikolalia ndio tumeamkia, si mlijipanga kupotosha na kujifanya mkwara wenu upo juu sasa muda umefika mbichi zinajulikana.
Njoo pm nkupe VPN baby
 
Kwa bahati mbaya kushinda uchaguzi ndio jambo la muhimu kwa CCM kuliko maisha yenyewe. Wapo tayari kufanya lolote kwa namna yoyote lakini sio serikali iwaponyoke mikononi kisa "vijikaratasi vya kura"!!! They shoot first and apologise after
Tushafunga ingieni barabarani tenaa hapa Dar kama sasa hivi mji taaa zinawakaa tu Yaani bila CCM waibe Kura kuliko kumpa Lissu ushindi hakii gharama take ni kubwa sana kwa Nchi yetuuuu potelea mbaliii wafunge hata week
 
Sasa nimejua ww ni mtu gani

yaan Kama haujaathiriki na hiki kitendo you're not human being aisee you're an animal.

Hapo ndio upeo wako wa kufikiri umeishia siwezi kukulaumu
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Haya ndio madhara ya viongozi washamba
 
Uafungia play store

Unafungia YouTube

Unafungia Facebook mtandao wa watoto

Yaani unamwaga petrol kwenye Moto unaowaka

Mwaka huu hawatokaa waamini kitakachowapata.
Kwa akili zake n lile bichwa hana jipya la kutuambia,huko znz napo hafurukuti kajaza jeshi huko
 
SISI KAZINI KWETU TOKA JANA HAKUNA INTERNET, KI UKWELI TUMEUMIA SANA...TUMESHINDWA KUTOA SALES INVOICES NA CASH SALES KWA SABABU YA KUKOSA INTERNET...ACHA KESHO NIKAPIGE KURA YANGU...HALAFU NISIKIE MTU ANAKUJA KUMTANGAZA MWINGINE AMBAYE HAJASHINDA...TUTAELEWANA AISEE...
Do kwani unapiga kura ngapi hadi yako iwe ndio mwamuzi
 
Wakoloni weusi mnahaha hadi mmepoteana kisa upinzani dhaifu umewakaba koo
Mwisho wa CCM umefika tukutane kesho kwa sanduku la kura
tena katika jambo la maana waliofanya ni kuzima mitandao ya kijamii maama kesho kila mtu angekua mtangaza matokeo.

hayo matusi yenu kawatukaneni baba zenu huko
 
Back
Top Bottom