Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Nyoko. Eti uwongo hauta kusaidia? Kwa taarifa yako tu mtafuta max melo.
Yeye mwenyewe kakiri. Na jana waataalam tumechek kwenye system maalum ni kweli.

So huniambii kitu bro.
Haya mtaalamu, nenda kapige kura,au jiandae kuingia road.
 
Ufike salama ndugu, uteleze kwenye barabara zilizojengwa chini ya uongozi wa JPM! Ukifika Mungu akuongoze ktk upugaji kura wako!
Kajenga kwa hela yake ya mfukoni?
 
Hawa ndiyo kila kukicha walikuwa wanapigiwa debe na Mwanakijiji! Sijui kapotelea wapi nguli huyu wa kutetea mateso na mauaji
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
LEO ni kuoneshana nani anafaa kukaa madarakabni na nani akakae chato
 
Barabara zinajengwa kwa kodi nnayolipa mwenyew wala sio hisani ni wajibu wao

Tunataka taifa hili liongozwe na akili mpya maana akili ya CCM haina akili tena. Bila aibu unaongoza taifa zaidi ya miaka sitini bado unajisifia kujenga barabara tu, tuwape miaka mingapi zaidi mtakua mmemaliza barabara?
Kwahiyo lissu mnampigia debe ili aje kufanya kipi?
 
Walisema kuwa RA wamemfunga Jamming divice, hawezi kuwa hacked, na kuwa wanatekiniko timu.
"Ngoja tuonyeshane makali" 900 itapendeza voice
 
Nyoko. Eti uwongo hauta kusaidia? Kwa taarifa yako tu mtafuta max melo.
Yeye mwenyewe kakiri. Na jana waataalam tumechek kwenye system maalum ni kweli.

So huniambii kitu bro.
Hata hivyo Kama una akili kidogo tu,zitatosha kukujuza kuwa Jf ni minor sana ikilinganishwa na hiyo mitandao iliyopigwa chini. Asilimia kubwa ya nyuzi zinazoanzishwa humu chanzo chake ni twitter, raia wanachungulia tweets za viongozi uchwara wao kule Kisha wanakimbilia kuanzisha thread humu.

👉Ndio maana tangu mitandao mingine ifungwe,Jf imegeuka uwanja wa nyuzi za malalamiko na si kujadili mambo yanayoendelea kuhusu uchaguzi kama ilivyozoeleka.

😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hata hivyo Kama una akili kidogo tu,zitatosha kukujuza kuwa Jf ni minor sana ikilinganishwa na hiyo mitandao iliyopigwa chini. Asilimia kubwa ya nyuzi zinazoanzishwa humu chanzo chake ni twitter, raia wanachungulia tweets za viongozi uchwara wao kule Kisha wanakimbilia kuanzisha thread humu.

[emoji117]Ndio maana tangu mitandao mingine ifungwe,Jf imegeuka uwanja wa nyuzi za malalamiko na si kujadili mambo yanayoendelea kuhusu uchaguzi kama ilivyozoeleka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asilimia kubwa ya nyuz zinatokana na twitter? Hahaha nimecheka sana. Based on what bro?

Yaan ww unapima popularity ya social meadia kupitia post? Nigga pls.. grow up man. Social meadia hazipimei kwa post. Zinapimwa kwa idad ya watu.

Jf used to be minor.. but it is a growing sm..
Kuhusu sijui post za malalamiko..

Nklwambie tu i dont give a flying fuk about hayo malalamiko. Hayanihusu.
 
Nenda upige kura acha ujinga wa kulia, humu hatupigi kura
 
Duh,nadhani sasa safari ya watanzania ni ngumu bado.ila c kwamba hayana mwisho.
 
Asilimia kubwa ya nyuz zinatokana na twitter? Hahaha nimecheka sana. Based on what bro?

Yaan ww unapima popularity ya social meadia kupitia post? Nigga pls.. grow up man. Social meadia hazipimei kwa post. Zinapimwa kwa idad ya watu.

Jf used to be minor.. but it is a growing sm..
Kuhusu sijui post za malalamiko..

Nklwambie tu i dont give a flying fuk about hayo malalamiko. Hayanihusu.
Nyuzi zenu hatuzioni tena tangu ile mitandao ifungwe,mmebaki kuanzisha nyuzi za malalamiko tu.
👉Ukubali au ukatae, Jf inaathirika pia kutokana na swala la mitandao mingine kuwa under control.
 
Back
Top Bottom